Kwanini CCM wanamtumia mhalifu sugu Jumanne Mjusi?

Antar bin Shaddad

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
202
101
leo arusha katika kata ya daraja 2 ambako kutafanyika uchaguzi wa nafasi ya udiwani Oktoba 28 kikundi cha Green Guard wa CCM waliwapiga wananchi waliokuwa wanaoonyesha ishara ya vidole inayotumiwa na chama cha CDM.Green Guard hao walioongozwa na Jambazi Sugu Jumanne Mjusi.

Mtu huyo anafahamika sana arusha kama jambazi sugu ambaye amehusika na matukio mbalimbali ya kihalifu na mauaji na rekodi zake ziko polisi na alinza kujiingiza katika siasa za CCM katika uchaguzi wa mwaka 2005 akiwa katika kambi ya mgombea ubunge wa CCM Dr.Batilda Burian.

Alitumika kuwatisha wapinzani wa Batilda na kukusanya taarifa mbalimbali hasa za waliokuwa wanampinga mgombea huyo na tangu wakati huo amejikita katika shughuli za kisiasa za CCM, na baadhi ya viongozi wa chama hicho wamekuwa hawapendezwi na hatua ya kumtumia mhalifu huyo wakidai kuwa ni kuchafua chama.

Je ni kwanini vyombo vya dola vimeshindwa kumchukulia hatua mtu huyo ambaye nahatarisha usalama wa watu wengine wanaopinga CCM?Je ni kwanini CCM inamtumia mtu ambaye hana rekodi nzuri katika maisha ya kijamii?
 
leo arusha katika kata ya daraja 2 ambako kutafanyika uchaguzi wa nafasi ya udiwani Oktoba 28 kikundi cha Green Guard wa CCM waliwapiga wananchi waliokuwa wanaoonyesha ishara ya vidole inayotumiwa na chama cha CDM.Green Guard hao walioongozwa na Jambazi Sugu Jumanne Mjusi.

Mtu huyo anafahamika sana arusha kama jambazi sugu ambaye amehusika na matukio mbalimbali ya kihalifu na mauaji na rekodi zake ziko polisi na alinza kujiingiza katika siasa za CCM katika uchaguzi wa mwaka 2005 akiwa katika kambi ya mgombea ubunge wa CCM Dr.iBatilda Burian.

Alitumika kuwatisha wapinzani wa Batilda na kukusanya taarifa mbalimbali hasa za waliokuwa wanampinga mgombea huyo na tangu wakati huo amejikita katika shughuli za kisiasa za CCM, na baadhi ya viongozi wa chama hicho wamekuwa hawapendezwi na hatua ya kumtumia mhalifu huyo wakidai kuwa ni kuchafua chama.

Je ni kwanini vyombo vya dola vimeshindwa kumchukulia hatua mtu huyo ambaye nahatarisha usalama wa watu wengine wanaopinga CCM?Je ni kwanini CCM inamtumia mtu ambaye hana rekodi nzuri katika maisha ya kijamii?

Ndege wenye mabawa yanayofanana huruka pamoja. Sijui kama nitakuwa nimekujibu?
 
wasipowatisha wananchi unafikiri watawezaje kupata kura...watatumia majambazi, mafia, majasusi yoyote yule watakayo lakini kwa uwezo wa Mungu 2015 watapigwa chini one way or the other...unaweza kumtisha mtu kwa nje lakini huwezi kumbadilisha mtu kwa ndani
 
NAZID KUAMIN CCM NI SIKIO LA KUFA ALISIKII DAWA, IKI CHAMA KIMEISHIWA ATA WASHAURI WAZUR, LEO KNATMIA MAJAMBAZ KFANYA KAMPENI, ATA MUNGU ANATSAIDIA KUKIARIBIA IMAGE MBELE YA JAMIi
 
Mpaka mambo yaharibike kama ilivyokuwa kwa RPC Barlow ndio polisi watanyanyuka?
 
Sasa wewe ulitegemea wangemfuata nani? haujui huyo ana nafuu? heri miimi sijasema....ccm haina pool nyingine zaidi ya wahalifu na ukitaka biashara zako ziende vema basi chagua ccm...huelewi tu?
 
Jibu liko wazi, ccm wanamtumia jambazi kwa sababu ni chama cha majambazi.
CCM ni sawa na mbwa anayekula kinyesi chake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mwombee adui njaa. Waache wajumuike huko, ili mwananchi asije hangaika kwa kupeleka kura yake 2015.
 
Sijaona cha ajabu hapo kwani majambazi wanaotumiwa na CCM ni wengi na hatari zaidi ya huyo. Anza na yule Mzee aliyetulazimisha ku:kev: nyasi ili rada inunuliwe, Mze wa VIJISENTI na wengineo.
 
Kumbuka Jurgen (not sure of spelling) ambaye ndie ndugu wa karibu sana wa Batilda Buriani; alikuwa kundi la majambazi kwa muda mrefu wakiwepo Banjo, Michael, nafikiri Jumanne pia alikuwepo na wengine nimewasahau majina. Baada ya Batilda Buriani kuwa waziri, Jurgen (sp) alipata ulaji, wengine walisema amekuwa dereva wake. Sasa lile kundi la majambazi la kina Jurgen nalo likaimarika kimaslahi. Sasa Batilda kushindwa na kuukosa uwaziri; ulaji lazima umepungua. Hili kundi lilikua hatari sana toka kipindi cha 90's. Kama wananchi wanategemea hawa watafanywa chochote ni ndoto kwani wanaeleweka sana lakini sijawahi kusikia wameguswa. Labda wananchi waamue tu kum-kamanda Barlow kinyume na hapo; sijui. Will see!
 
Tatizo kwa huyu jambazi sugu Mjusi sio Polisi bali ni mahakama, polisi wamemkamata sn tatizo kila akifikishwa mahakamani hakuna mashahidi wa kuthibtisha then anaachiwa huru, kumekuw na tetes ukimtolea ushahidi tu siku zako zinahesabika, maana hata mtoto wake Abdul naye ni Jambazi, tena ujambazi wao ni wa kutumia siraha za moto!!! ajabu ccm kuwatumia majambazi kama kwa Nyali kule Mererani malengo yao ni nini??
 
Huyu jambazi mjusi ni yule alieenda bungeni kukiri kua ameacha ujambazi alafu baada ya muda akakamatwa tena kwenye tukio la ujambazi.huyu jamaa anatumiwa na sisiemu mkoa katika shughuli zake za kisiasa.anakesi kama mia mbili polisi,leo hii hata ukimuuliza RPC wa anajua kilakitu kuhusu huyu jambazi.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom