Kwanini CCM wanalinda mafisadi na wauza unga?

Kwanini CCM wanalinda mafisadi na wauza unga?

"Tukishughulikia wauza unga uchumi utayumba" nukuu ya kiranja wa zamu
 
Watanzania msihofu kwa sasa wanaoshughulikiwa na hayo madawa ni watoto watanzania wakawaida na maskini ili familia zao ziendelee kuwa maskini na wasiwaze na kutambua ubaya wake lakini tunakoelekea watoto wa viongozi,matajiri wataanza kuingia kwenye musiki huo na hapo ndipo serikali au chama tawala kitaanzania kuamka sababu watakaokuwa wanaharibikiwa ni watoto wao,familia zao na marafiki zao.Chakuwangalisha vijana wanaotoka kwenye familia za kawaida na maskini waamke na waone ubaya wa madawa utajiri wa haraka haraka unaua.Na kama Watanzania tunataka kupigana nao basi tuanze na kuielimisha jamii yetu vinginevyo tukitegemea serikali imekula kwetu na watoto wetu.
 
Ninayo masikitiko makubwa kwa namna nchi inavyokwenda hasa CCM kuwalinda kwa NGUVU zote wauza unga na mafisadi.

Waliapa kuwashughulikia Mafisadi hasa walifocha fedha nje lakini majuzi nimesikia mkuu mmoja akisema hawana fedha za kwenda Uswiswi kufuatilia fedha zilizofichwa huko! Alipotakiwa kueleza kama wamewasiliana na Ubalozi wao hapa nchini alikuwa 'mbogo' kweli kweli.

Hivyo hivyo kwa madawa ya kulevya nayo pia hawataki kuchukua hatua hasa ikizingatiwa kuwa yanamaliza vijana wetu.😕

Mkuu umesahau 2015?
 
mkuu Pasco
Naona umekaa kimitego zaidi; haiwezekani hata siku udai eti huna chama hiyo sio kweli naona hiyo triangle uliiyoitengeneza umeweka maslahi yako binafsi hebu tuhabarishe zaidi kwasababu watu wanavutiwa na sera siyo mtu mmoja; El atatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sera za chama chake hali kadhalika ZZK na Jussa watumikia sera za vyama vyao!
Mkuu Chama, wako watu kibao kama mimi tusio na vyama, bali wenye "watu!".

Hakuna ubishi kuwa CCM ni chama cha mafisadi na kimeoza na kunuka rushwa inside out!. Hii ni kufuatia mafisadi kukamata uongozi wa CCM, na kuwaweka mfukoni viongozi wenu karibu wote!. Jinsi ya kupata uongozi wa CCM siku hizi ni kwa rushwa nje nje!. Uendeshaji wa siasa za CCM ni kwa uongo, fitna na majungu, huku kikihubiri "siasa za majitaka" dhidi ya upinzani wowotw wa ndani au nje!.

Lakini pamoja na madudu yote haya, bado kuna wana CCM wachache ambao ni safi, sio mafisadi, sio walarushwa, wana siasa safi na weledi wa hali ya juu mmoja wao ni Mwalimu. Kuna watu hata leo na toka vyama vyote ambao wanamkubali Mwalimu!.

Vivyo hivyo kwa EL, japo ni kafisadi, na chama cha mafisadi na mifisadi, ila ni yeye ndiye "mwenye uwezo" hivyo wako watu wanamkubali ambao hawana vyama na wengine hata Chadema wanajua akisimama, yule wa kwao hatathubutu hata kupenyeza pua!, kwa sababu kama safari hii ni zamu ya "Kaskazini!", haiwezekani ikawa "Kaskazini Kaskazini!".

CCM ni li zimwi, ila katika uchaguzi wa 2015, its a choice between zimwi likujualo, na lile usiulolijua!.

Yes EL is the devil, and "yule jamaa", pia is the devil!, but between the two devils chose the lesser!, EL is the lesser devil kuliko "yule jamaa!".

Naomba usiniulize "yule jamaa ni nani?!, vitu vingine is only ment kwa ma gt only, if not sorry!.
Pasco.
 
Tatizo lako humuelewi Pasco; yeye tayari ameshajigeuza kuwa mpiga debe wa EL kwa hiyo atasema lolote anafahamu fika nafasi ya mgombea wake ina utata hebu jiulize ikiwa "CCM inachofanya ni kulinda wanachma wake" huyu anayempigia debe ni mwanachama wa chama gani? Huoni kama Pasco ni mtu anayejitega mwenyewe?
Mkuu Chama, unachotakiwa sio lazima kuusema tuu ukweli unaojua ukijulikana utakuchafua, bali kuukubali ukweli kwa kujinyamazia tuu kimya!.

Unajua fika kuwa CCM ni chama cha mafisadi!, huu ni ikweli halisi!. Ujajua kuwa "Jamaa" alipata upangaji wa ile nyumba nyeupe kupitia bilioni 40 za ufisadi wa Kagoda!. Unajua mafisadi wakitaka kufisidi, kwanza hukata kadi za CCM!. Ujajua ile mijizi ya EPA ilisamehewa kwa sababu yote ni mianachama ya CCM!. Unajua ni kwanini ilisemehewa?!.
"CCM inalinda Mafisadi na wauza "sembe" kwa sababu ni wanachama wake!" this is a fact, mkuu Chama kubali, katalaa ila ukweli ndio huo!.
Pasco.
 
Nchi hii haitaongozwa na wahuni Chadema never hilo msahau. Njooni na kila aina ya uzushi na hampati kitu.

>Hapo kuna uzushi kweli...vijana wetu wanafungwa huko we unaleta wehu wako hapa... Tumia akili...
 
CCM wanawalinda hawa majambazi na wauaji kwa sababu wao ndio wafadhili wao wakuu, bila hao wauza unga CCM kwishnei ukizingatia hazina imekauka.
 
Mafisadi na mauza ngada ndio ma sponsors wa ccm mkiwakamata chama kitakufa.

=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
 
Lete ushahidi unao unyesha kama ccm wanawalinda hao mafisadi na wauza unga unajua nyinyi vijana mnapoteza muda wenu mwingi kulipa elfu moja kukaa kwenye internet kuhatarisha maendeleo yenu muda wakwenda shule nyinyi kazi yenu kupost utumbo tu kwenye JF

gt tatizo ni matamko yaliyotolewa na ccm na viongozi wao kuwa watawashughulikia wauza unga, majangili, wala rushwa na mafisadi papa, tangu wameahidi wakiulizwa wanabadili maneno, sasa ww unataka ushahidi gani, waulize fedha za EPA, RICHMONDI, MEREMETA, GREEN AGRICULTURE KIWIRA, IPTL n.k. zimerudi na nani ameshughulikiwa hadi leo. je ufisadi wa kampuni ya UDA nani amewajibishwa, je unajua hata walioshitakiwa wamefutiwa mashitaka lakini hakuna maelezo ya kina kwanini wamefutiwa mashitaka, je mwananchi wa kawaida unataka afanye nn.

je walioficha mabilioni uswisi wameulizwa walipateje fedha hizo, Je Mhe. Chenge aliyejiuzulu uwaziri kwa kugundulika kuficha fedha kiasi cha dola zaidi ya bilioni moja visiwa vya Jerseyna yy kuviita vijisenti, ametupa maelezo alikopata hizo hela ukilinganisha na kipato chake kama mtumishi wa Serikali, je amechukuliwa hatua gani, watu wanahoji hawapati majibu sahihi ndicho kinacholeta conclusion kuwa ccm inawalinda mafisadi na wauza unga

katika nchi zilizoendelea, inapotokea kashfa kuhusu kukosekana kwa uadilifu au rushwa kwa kiongozi wa umma au chama, baada ya uchunguzi wa kina kufanyika, taarifa hutolewa kwa wananchi na Polisi au afisa atakayepewa dhamana kusema walibaini nini kwa ushahidi usiotia shaka, je kwetu linafanyika, inawezekana waliotuhumiwa hawana makosa yoyote kabisa lakini je ccm na serikali kwa ujumla imetoa taarifa ya kusafisha uongo huo uliopo vichwani mwa watu, kama haya yanakosekana mtu anaweza kusema chochote hata kama sio cha kweli

uwazi na ukweli ukitawala hisia za watu kuhusu jambo fulani huondoka vichwani mwao
 
Mkuu Chama, wako watu kibao kama mimi tusio na vyama, bali wenye "watu!".

Hakuna ubishi kuwa CCM ni chama cha mafisadi na kimeoza na kunuka rushwa inside out!. Hii ni kufuatia mafisadi kukamata uongozi wa CCM, na kuwaweka mfukoni viongozi wenu karibu wote!. Jinsi ya kupata uongozi wa CCM siku hizi ni kwa rushwa nje nje!. Uendeshaji wa siasa za CCM ni kwa uongo, fitna na majungu, huku kikihubiri "siasa za majitaka" dhidi ya upinzani wowotw wa ndani au nje!.

Lakini pamoja na madudu yote haya, bado kuna wana CCM wachache ambao ni safi, sio mafisadi, sio walarushwa, wana siasa safi na weledi wa hali ya juu mmoja wao ni Mwalimu. Kuna watu hata leo na toka vyama vyote ambao wanamkubali Mwalimu!.

Vivyo hivyo kwa EL, japo ni kafisadi, na chama cha mafisadi na mifisadi, ila ni yeye ndiye "mwenye uwezo" hivyo wako watu wanamkubali ambao hawana vyama na wengine hata Chadema wanajua akisimama, yule wa kwao hatathubutu hata kupenyeza pua!, kwa sababu kama safari hii ni zamu ya "Kaskazini!", haiwezekani ikawa "Kaskazini Kaskazini!".

CCM ni li zimwi, ila katika uchaguzi wa 2015, its a choice between zimwi likujualo, na lile usiulolijua!.

Yes EL is the devil, and "yule jamaa", pia is the devil!, but between the two devils chose the lesser!, EL is the lesser devil kuliko "yule jamaa!".

Naomba usiniulize "yule jamaa ni nani?!, vitu vingine is only ment kwa ma gt only, if not sorry!.
Pasco.

Mkuu Pasco
Naona unaendelea kujikanganja; unaposema EL ni lesser devil huoni kwamba unajipaka mavi ya uso mwenyewe? Pamoja na kuwepo wimbi la mafisadi ndani ya chama bado wapo wanaCCM wenye uwezo na wasafi; naona bado unajichanganya sana uraisi wa Tanzania hauotolewi kwa mantiki ya mgombea ni mtu wapi ni uwezo wa mgombea aliyesimamishwa; hili la ukanda unalolishabikia inaonekana wazi unataka kuigawanya Tanzania kwa mafungu kama hoja ni Kaskazini sio lazima iwe Arusha au Kilimanjaro; Tanga nayo ni sehemu ya kaskazini je upo tayari kumpigia debe mgomea kutoka Kaskazini mkoa wa Tanga?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Chama, unachotakiwa sio lazima kuusema tuu ukweli unaojua ukijulikana utakuchafua, bali kuukubali ukweli kwa kujinyamazia tuu kimya!.

Unajua fika kuwa CCM ni chama cha mafisadi!, huu ni ikweli halisi!. Ujajua kuwa "Jamaa" alipata upangaji wa ile nyumba nyeupe kupitia bilioni 40 za ufisadi wa Kagoda!. Unajua mafisadi wakitaka kufisidi, kwanza hukata kadi za CCM!. Ujajua ile mijizi ya EPA ilisamehewa kwa sababu yote ni mianachama ya CCM!. Unajua ni kwanini ilisemehewa?!.
"CCM inalinda Mafisadi na wauza "sembe" kwa sababu ni wanachama wake!" this is a fact, mkuu Chama kubali, katalaa ila ukweli ndio huo!.
Pasco.

Mkuu Pasco
Naona unaongea sana kwa hisia ila kuna ukweli mwingi kwenye suala la EPA kuna wahusika wapo jela pamoja na kuwa walikuwa makada wa chama; na pesa nyingi tu zimerudishwa hebu nipe kumbukumbu ya pesa za EPA zilizosamehewa; hawa mafisadi na wauza sembe ni watanzania haiwafanyi shughuli kwa sababu ni wanachama wa CCM au Chadema ni kuporomoka kwa maadili wewe kama mwandishi wa unaweza kuwa catalyst kwenye kurudisha maadili ndani ya jamii
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Pasco
Naona unaendelea kujikanganja; unaposema EL ni lesser devil huoni kwamba unajipaka mavi ya uso mwenyewe? Pamoja na kuwepo wimbi la mafisadi ndani ya chama bado wapo wanaCCM wenye uwezo na wasafi; naona bado unajichanganya sana uraisi wa Tanzania hauotolewi kwa mantiki ya mgombea ni mtu wapi ni uwezo wa mgombea aliyesimamishwa; hili la ukanda unalolishabikia inaonekana wazi unataka kuigawanya Tanzania kwa mafungu kama hoja ni Kaskazini sio lazima iwe Arusha au Kilimanjaro; Tanga nayo ni sehemu ya kaskazini je upo tayari kumpigia debe mgomea kutoka Kaskazini mkoa wa Tanga?
Mkuu Chama, kubali kataa, ugombea urais kwa CCM, hupatikana kwa "mbinu! na sio uwezo kama unavyotaka kudai!.
Kama kweli ni kwa uwezo, hebu wakumbuke wagombea wenu finalists wa 2005, aliyepita, alipita kwa uwezo gani dhidi ya aliyowashinda?!. Au "sura" pia ni uwezo?!.

Kama kweli sasa kwa sasa CCM itateua kutokana na uwezo, then mgombea wenu ndiye "yule" kwa sababu kuiwezo, hana wa kumlinganisha!, kikubalika, hana wa kumsogelea!, kiushindani, hana wa kushindana naye!.
"Rais wa Tanzania mwaka 2015 atatoka Kaskazini! na "TA nayo pia ni "kaskazi!" na "yule" ni "kijana wetu!".
Pasco.
 
Ndugu wana JF

Kwa sasa Nchii imeingia katika tuhuma nzito duniani juu ya Biashara ya Madawa ya Kulevya kwa hiyo naomba kuuliza yafuatayo
1. Mh. Rais yupo katika Ziara jijini Mwanza je katika ziara hii ameishawahi kuongelea lolote juu ya madawa ya kulevya?
2. Kinana na Nape wapo mkoani Shinyanga wakifanya ziara ya kukiimarisha chama je katika hotuba zao wameishawahi kuongelea suala la madawa ya kulevya?

Kama viongozi hawa hawaliongelei suala hili ambalo ndio tatizo kubwa ambalo nchi hii inakabiliwa kwa sasa
1. Tunawaweka na wanajiweka kundi gani hawa viongozi?
2. Je wao hawalioni kama ni tatizo?
3. Je ni kwanini hawalioni kama ni tatizo?
 
Watazungumziaje wakati wao ndo wala unga? Kwan hukusikia mtoto wake alivolamatwa hivyo ishu ikazimwa kisiasa kwa wachina kupewa gesi??
 
Watazungumziaje wakati wao ndo wala unga? Kwan hukusikia mtoto wake alivokamatwa hiyo ishu ikazimwa kisiasa kwa wachina kupewa gesi??
 
hawa ccm wanakera hadi tone la mwisho, kiama ni halali yao km ilivyotokea kwa Rais wa Ufaranca.
 
Mkuu Chama, kubali kataa, ugombea urais kwa CCM, hupatikana kwa "mbinu! na sio uwezo kama unavyotaka kudai!.
Kama kweli ni kwa uwezo, hebu wakumbuke wagombea wenu finalists wa 2005, aliyepita, alipita kwa uwezo gani dhidi ya aliyowashinda?!. Au "sura" pia ni uwezo?!.

Kama kweli sasa kwa sasa CCM itateua kutokana na uwezo, then mgombea wenu ndiye "yule" kwa sababu kuiwezo, hana wa kumlinganisha!, kikubalika, hana wa kumsogelea!, kiushindani, hana wa kushindana naye!.
"Rais wa Tanzania mwaka 2015 atatoka Kaskazini! na "TA nayo pia ni "kaskazi!" na "yule" ni "kijana wetu!".
Pasco.

mkuu Pasco
Kuna haja ya kumpigia debe mtu ambaye ni mtata wakati wapo watu safi ambao hawana utata? Kama hoja ni uwezo sina haja ya kutaja majina lakini wengi tu wameonyesha wanaouwezo mkubwa; bado najiuliza na hicho kitendawili chako umepewa ahadi gani? sio bure debe hili unalopiga; mimi nataka tupate mtu safi mwenye maadili simpigii debe mtu yoyote muda huo sina ila naweka mbele maslahi ya taifa na chama changu makini CCM.
 
Mkuu Chama, amini usiamini, sijawahi kuvuta hata senti tano kipande toka kwa EL!, nimesikia kuna timu EL, BM, SS na sasa HM, mimi sio member wa timu yoyote kwenye makundi hayo, ila nasimama kwenye ukweli, ndio maana kila siku tunalumbana humu na marafiki zangu kibao.

Nilisema humu na sio mara moja wala mbili kuwa "CCM imechokwa!" "imeoza na kunuka rushwa!", "CCM ni chama cha Mafisadi!", ila kwa hali ilivyo as of now, mshindi wa jumla wa urais wa 2015 ni mgombea wa CCM!, huu ndio ukweli mchungu kabisa kumeza, yaani hili hili zimwi CCM, baada ya kutufanya hivi ilivyotufanya kwa miaka 50!, tunaendelea kuichagua mwaka hadi mwaka!.

Nakubaliana na wewe, CCM inao viongozi wengi wenye uwezo "kama kijana wetu "mgoshi wa kaya", au hata Magufuli, Mwakyembe hata "lile boya!", "joka la mdimu!", lakini kiuwezo, kikukubalika, "jamaa yangu hana mshindani!. Wasiwasi wangu kwake ni mmoja tuu!, "afya yake!"

Sijaahidiwa chochote!, infact mimi ni ile "rare type" ya human beings ambao "hatuahidiki chochote!".
Amini nakuambia akisimamishwa yeye, nani anaweza kusimama nae hata akantikisa tuu, achilia kumshinda!.
Kama CCM mnatafuta likizo ya kudumu, endelee kuhangaika na hayo mazaga zaga yenu!, mtapigwa chini!.
Pasco.

Kosa lake kubwa ni Richmond!, "mwenye zigo lake yupo!"
 
Back
Top Bottom