Kwanini CCM wanalinda mafisadi na wauza unga?

Kwanini CCM wanalinda mafisadi na wauza unga?

Uzushi mtupu. Waambie viongozi wako warudi shule wasome

Two questions if you will:
  1. Kuna uhusiano gani kati ya ulichomwambia mleta maada na maudhui ya maada yake?
  2. Kikwete alishalitangazia taifa kuwa ana majina ya wanaojihusisha na madawa ya kulevya siku nyingi sana zilizopita, what happened to them?
 
Unajua sisi Chama tawala tunataka tutawale milele sasa tunafanya kila njia kugakikisha hilo linafanikiwa, kwahiyo hizi ni biashara zetu jamani.
 
Si kweli kuwa CCM inalinda wauza "sembe" na mafisadi!, CCM inachofanya ni kulinda "wanachama wake!".

umenena vyema mkuu inalinda wana chama wake ambao ni wauza sembe,sasa umeweka vizur kumbe ndio mana vita hii itakua ngumu sana ukizingatia wauzaji na waagzaj wa sembe ni makada,kwel ccm ukoo wa panya.
 
we acha ujinga huo wewe unaweza kukata mkono wa mwanao kwa sababu kajinyea unamwosha anakuwa safi ila kaharufu katabaki kidogo unapotezea siwezi funga mwana ccm mwenzangu wakati alinichangia hera nyingi kwenye kampeni na bado namhitaji hasa fedha zake 2015
 
Nchi hii haitaongozwa na wahuni Chadema never hilo msahau. Njooni na kila aina ya uzushi na hampati kitu.

endelea kujiliwaza ccm ndo inakufa hivi na inajiua yenyewe watz hawata sahau haya EPA NA BALALI,RICHMOND,DOWANS,GESI YA MTWARA WACHINA RTHI 1 NA MADAWA YA KULEVYA WACHINA WAKAPEWA GESI WAMWACHE WE SUBIRI UONE
 
Sheria za nchi zikoje jee unaifahamu vizuri katiba ya nchi?ndio mana nikakwambieni mnapoteza muda mwingi sana kwenye mitandao kuangalia picha za wakubwa na kupost utumbo bila kuwa na direct evidence huwezi kumfikisha mtu mahakamani bwa mdogo rudi shule upate kujua haki zako za msingi na kama wewe mzee mbona shule zipo tu zinafundisha watu wazima!

mnataka ushahd gan nyinyi wajinga wa ccm hv mbona yanapotokea mauaji utasikia flan kakamatwa kwa tuhuma ama kashukiwa kuhusika anawekwa lokap kwa uchunguz zaid ni sheria ipi inayoruhusu mtuhumiwa kukamatwa na kuwekwa ndan huku uchunguz ukiendelea kwa kosa ambalo ushahd wake haupo moja kwa moja lakn sheria hyo isitumike kwa washukiwa na watuhumiwa wa madawa ya kulevya??hv nyie mnadhan watz ni wajinga sana au mnatuchukuliaje?
 
Mafisadi na wauza unga wakikamatwa nchi itakumbwa Na mtikisiko Mkubwa
 
umenena vyema mkuu inalinda wana chama wake ambao ni wauza sembe,sasa umeweka vizur kumbe ndio mana vita hii itakua ngumu sana ukizingatia wauzaji na waagzaj wa sembe ni makada,kwel ccm ukoo wa panya.
Mkuu Sir Joshua, huitendei haki kuwaita CCM ni mapanya kwa sababu tuu ya wizi wao wa mali ya umma!. Hata wale mapanya wa nyumbani au ghalani wanaiba chakula au kula mazao, wao wanaamini hiyo ni himaya yao, na kule kula kwao sii kuiba, ni halali yao!. CCM hii ni himaya yao, hivyo chochote wafanyacho, ni halali yao!, wewe ndio unadhani wanaiba!.
"You can't steal from your self" ni unahamisha tuu, au unachukua..unaweka..waa!.
Pasco.
 
Uzushi mtupu. Waambie viongozi wako warudi shule wasome

chama kina wenyewe..wengne wote wasndkizaji 2...jiulize kwanini mbio za nape kupnga ufisadi zimeishia ukngoni...jiulize kwanini balali afe baada ya kuonekana kutaka kufunguka..anyway kwanini mazishi yake watanzania walizuiwa kuhudhuria? hvi alikufa kweli? jiulize kwanini rais anashndwa kuunda tume bomu la soweto..na kwanini mbowe asichukuliwe hatua kwa kusngzia polisi....? tafakari....
 
Chadema ni marehemu anayetembea, kwetu anaitwa mzuka
 
Lete ushahidi unao unyesha kama ccm wanawalinda hao mafisadi na wauza unga unajua nyinyi vijana mnapoteza muda wenu mwingi kulipa elfu moja kukaa kwenye internet kuhatarisha maendeleo yenu muda wakwenda shule nyinyi kazi yenu kupost utumbo tu kwenye JF

lete ushahdi kuonesha ccm inafanya kile watanzania wanachotamani wakifanye dhidi ya madawa ya kulevya na ufisadi...jiulize tangu baada ya uhuru ni mwaka upi kasi ya ufisadi au ya kuingiza madawa ya kulevya imepungua? jiulize kama biashara yenyewe inamilikiwa na mabilionea..taja bilionea hata mmoja tu alie hukumiwa kwa kosa la kuingza madawa hayo...anyway nisikukatishe tamaa...hongereni kwani mbio za nape za kuwaondoa mafisadi ndani ya chama zimefanikiwa kwa 100%...chama ni kisafi sana sasa...hakuna tena mambo ya rchmund wala dowans, hakuna majangili wala..kiujumla ufisadi uliopo sasa ktk kila sekta ya uma..wanahsika CDM kwakuwa serikali yao ndo ipo madarakani kwa miaka zaidi ya 50.
 
Wenyewe ndio wahusika wakuu ulishaona mwizi anajiibia mwenyewe
 
Tatizo hili haliwezi kutatuliwa na watu wale wale waliolitengeneza. Wao ni sehemu ya tatizo lenyewe.
 
Unataka washughulikiwe wauza unga ili CHAMA KIPASUKE ? bila biashara hiyo hela ya kununulia SHAHADA utatoa wewe ?
 
Lete ushahidi unao unyesha kama ccm wanawalinda hao mafisadi na wauza unga unajua nyinyi vijana mnapoteza muda wenu mwingi kulipa elfu moja kukaa kwenye internet kuhatarisha maendeleo yenu muda wakwenda shule nyinyi kazi yenu kupost utumbo tu kwenye JF
hv wewe ni mtanzania uishie tanzania?
 
Back
Top Bottom