Kwanini CCM wanalinda mafisadi na wauza unga?

Kwanini CCM wanalinda mafisadi na wauza unga?

Naona na sikia hao watu au hiyo meli ni ya ccm?

only time will tel..tulia kdogo...hv mbona hawakuisajili kenya au china..kwanini waisajili TZ...then waitumie kubebea mihadarati? hivi utasajili meli bila kujua inatumikaje...? jipe muda...tafakari..
 
watajaribu kwa kila njia kuzuia chama kingine madaraka kwa sababu wanajua wengi vigogo watashitakiwa. kuna wa nyumba za serikali, unga, ufisadi nk.
 
Mkuu M-KV, ujue hata wale vibaka au mwizi wa kuku, angekuwa na kadi ya CCM, wasinge chomwa au kuuwawa!, wale wanajulika ni wanachama wa CCM hivyo lazima iwalinde!. Ulinzi mkubwa zaidi ni ule uliotangazwa wazi na M/Kiti wa CCM, kuisamehe ile "mijizi ya EPA" kwa kuiambia "I rudishe ilichokwiba, au kukwapua!"
Pasco.

PASCO account yako imekuwa HACKED!!!!!!! Kuna mtu anaposti kwa account ya Pasco!!!!!! lol

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kwanza unapaswa ujue kuwa CCM ni :

Chama Cha Mateja
Chama Cha Mafisadi
Chama Cha Machangudoa
Chama Cha Magaidi
Chama Cha Majambazi
Chama Cha Mauaji
Chama Cha Majangili
Chama Cha Mipasho

Naomba uikumbuke hii list kabla hujaposti thread yoyote humu ndani,la sivyo utakuwa unapoteza nguvu zako bure!
 
Mkuu Sir Joshua, huitendei haki kuwaita CCM ni mapanya kwa sababu tuu ya wizi wao wa mali ya umma!. Hata wale mapanya wa nyumbani au ghalani wanaiba chakula au kula mazao, wao wanaamini hiyo ni himaya yao, na kule kula kwao sii kuiba, ni halali yao!. CCM hii ni himaya yao, hivyo chochote wafanyacho, ni halali yao!, wewe ndio unadhani wanaiba!.
"You can't steal from your self" ni unahamisha tuu, au unachukua..unaweka..waa!.
Pasco.

Pasco umeanza kuwa mzalendo? Nimependa coments ilozopost kwenye uzi huu
 
Lete ushahidi unao unyesha kama ccm wanawalinda hao mafisadi na wauza unga unajua nyinyi vijana mnapoteza muda wenu mwingi kulipa elfu moja kukaa kwenye internet kuhatarisha maendeleo yenu muda wakwenda shule nyinyi kazi yenu kupost utumbo tu kwenye JF

Faala wewe! wenzio vyetu wewe unawaza cha baba, ndo maana unafikiri buku la net!
Chukuwa quote toka ipad hii, nyama wee!
 
PASCO account yako imekuwa HACKED!!!!!!! Kuna mtu anaposti kwa account ya Pasco!!!!!! lol..Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Vero, sorry ulidhani unamfahamu Pasco wa jf, ila kiukweli humfahamu!. Pasco wa jf, hana chama, ila ni suppoter wa EL kwa CCM, supporter wa ZZK kwa Chadema na Jussa kwa CUF!.
Pasco.
 
Miradi ya chama. Wanachotaka wao ni pesa, na kutuacha watz mazezeta. Chama cha majangili.
 
Vero, sorry ulidhani unamfahamu Pasco wa jf, ila kiukweli humfahamu!. Pasco wa jf, hana chama, ila ni suppoter wa EL kwa CCM, supporter wa ZZK kwa Chadema na Jussa kwa CUF!.
Pasco.

ahhaahahahahahhahahahahhha ( Jussa kwa CUF?)
 
we acha ujinga huo wewe unaweza kukata mkono wa mwanao kwa sababu kajinyea unamwosha anakuwa safi ila kaharufu katabaki kidogo unapotezea siwezi funga mwana ccm mwenzangu wakati alinichangia hera nyingi kwenye kampeni na bado namhitaji hasa fedha zake 2015

Wewe kesho lazima utaamkia mwabe.......... Ngoja niwasiliane na Kijo Bi Simba mapema.
 
Mkuu Pasco hapa hawatakuelewa kabisa aisee, but umeeleweka kaka. Salute Boss.
cc Ritz chama ZeMarcopolo na swahiba Mamdenyi
Mkuu Steve, unapokuwa mkweli, huhitaji watu wakuelewe, unachotakiwa kufanya na kuusema tuu ukweli jinsi ulivyo, wakuelewa, wataelewa!, wasio elewa waache hivyo hivyo watakavyoelewa hata kama sivyo, mwisho wa siku ni "ukweli ndio utakao simama!".
Pasco.
 
Vero, sorry ulidhani unamfahamu Pasco wa jf, ila kiukweli humfahamu!. Pasco wa jf, hana chama, ila ni suppoter wa EL kwa CCM, supporter wa ZZK kwa Chadema na Jussa kwa CUF!.
Pasco.

mkuu Pasco
Naona umekaa kimitego zaidi; haiwezekani hata siku udai eti huna chama hiyo sio kweli naona hiyo triangle uliiyoitengeneza umeweka maslahi yako binafsi hebu tuhabarishe zaidi kwasababu watu wanavutiwa na sera siyo mtu mmoja; El atatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sera za chama chake hali kadhalika ZZK na Jussa watumikia sera za vyama vyao!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Pasco hapa hawatakuelewa kabisa aisee, but umeeleweka kaka. Salute Boss.

cc Ritz chama ZeMarcopolo na swahiba Mamdenyi

Tatizo lako humuelewi Pasco; yeye tayari ameshajigeuza kuwa mpiga debe wa EL kwa hiyo atasema lolote anafahamu fika nafasi ya mgombea wake ina utata hebu jiulize ikiwa "CCM inachofanya ni kulinda wanachma wake" huyu anayempigia debe ni mwanachama wa chama gani? Huoni kama Pasco ni mtu anayejitega mwenyewe?
 
Mkuu Pasco njoo unisaidie kujibu hili swali la rafiki yangu chama
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Steve, unapokuwa mkweli, huhitaji watu wakuelewe, unachotakiwa kufanya na kuusema tuu ukweli jinsi ulivyo, wakuelewa, wataelewa!, wasio elewa waache hivyo hivyo watakavyoelewa hata kama sivyo, mwisho wa siku ni "ukweli ndio utakao simama!".
Pasco.

Kaka Pasco nisaidie kujibu swali la chama hapo kwenye post NO 58
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom