Kwanini CCM wanalinda mafisadi na wauza unga?

pilipili kichaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
19,030
Reaction score
15,232
Ninayo masikitiko makubwa kwa namna nchi inavyokwenda hasa CCM kuwalinda kwa NGUVU zote wauza unga na mafisadi.

Waliapa kuwashughulikia Mafisadi hasa walifocha fedha nje lakini majuzi nimesikia mkuu mmoja akisema hawana fedha za kwenda Uswiswi kufuatilia fedha zilizofichwa huko! Alipotakiwa kueleza kama wamewasiliana na Ubalozi wao hapa nchini alikuwa 'mbogo' kweli kweli.

Hivyo hivyo kwa madawa ya kulevya nayo pia hawataki kuchukua hatua hasa ikizingatiwa kuwa yanamaliza vijana wetu.😕
 
Uzushi mtupu. Waambie viongozi wako warudi shule wasome
 
1. Hela za kampeni watatoa wapi?
2.Unataka wafunge watoto wao?
3.Wengi wa wauza sembe ni watoto wa wastaafu wa magamba,baba zao walishachezea hela kwenye umalaya na nyummba ndogo,kiiinua mgongo kimeisha,hao wanaouza hiyo sembe ndio wanahudumia hizo familia sasa unategemea wataweza kuwakamata?
 
Lete ushahidi unao unyesha kama ccm wanawalinda hao mafisadi na wauza unga unajua nyinyi vijana mnapoteza muda wenu mwingi kulipa elfu moja kukaa kwenye internet kuhatarisha maendeleo yenu muda wakwenda shule nyinyi kazi yenu kupost utumbo tu kwenye JF
 
Inabidi kwanza watanzania tuwe kitu kimoja ndipo tutaweza kuongea lugha moja.Bila hivyo kila mmoja afanye ajuavyo kulingana na maarifa aliyonayo.
 
Uzushi mtupu. Waambie viongozi wako warudi shule wasome

Kwa namna ccm wanavyo ongoza Nchi huwezi kuamini kama kuna alie soma! hivi kweli katika hali ya kawaida ukisikia vijana wa Nchi yako kila siku wanakamatwa na madawa ya kulevya kwa kiwango hiki huwezi kuona hii ni hatari na kuna kila sababu ya kuiweka kama ni agenda ya kitaifa kuangalia namna gani ya kukomesha aibu hii? lakini wao wako kimyaaa wanatunga matusi mapya ya kuwatukana CHADEMA!

Najiuliza, wanataka nini kitokee ndio waone kuna tatizo? ushari wangu ni kwamba ccm lazima waone uchungu kupokea mishara wakati hakuna kitu wanacho ifanyia Nchi hii.Tani 30 zile zingeingizwa Tanzania vijana wasio jitambua wangeangamia.wanyama wanauzwa wakiwa hai, wao kimyaaa! fedha zinatoroshwa mchana kweupe kwenda USWISS wao kimyaa! watoto asilimia90 wanafeli wao kimyaa! polisi wana ua watu wao kimyaaa! kuna kila sababu ya kuwapeleka shule akina LUKUVI,MWIGULU,MAKINDA,ndugai,na mhagama wakajengewe uwezo wa namna bora ya kuongoza Nchi
 
Wengi wao ni watoa maamuzi na ndo wafadhiri wakubwa wa ccm.
 
Pascoooooooooooooooooooooo.........u have said it......
Mkuu M-KV, ujue hata wale vibaka au mwizi wa kuku, angekuwa na kadi ya CCM, wasinge chomwa au kuuwawa!, wale wanajulika ni wanachama wa CCM hivyo lazima iwalinde!. Ulinzi mkubwa zaidi ni ule uliotangazwa wazi na M/Kiti wa CCM, kuisamehe ile "mijizi ya EPA" kwa kuiambia "I rudishe ilichokwiba, au kukwapua!"
Pasco.
 
Lete ushahidi unao unyesha kama ccm wanawalinda hao mafisadi na wauza unga unajua nyinyi vijana mnapoteza muda wenu mwingi kulipa elfu moja kukaa kwenye internet kuhatarisha maendeleo yenu muda wakwenda shule nyinyi kazi yenu kupost utumbo tu kwenye JF

naona kitambi kimekosa mkunaji 2kutafutie atakayekusaidia kukuna,umeshiba na kulemazwa na viposho vidogovidogo vya ccm. Inamaana huoni kama unaufisadi unaofanyika nchin?nani kachukuliwa hatu kwenye madawa ya kulevya? Au sio kweli.
 
Sheria za nchi zikoje jee unaifahamu vizuri katiba ya nchi?ndio mana nikakwambieni mnapoteza muda mwingi sana kwenye mitandao kuangalia picha za wakubwa na kupost utumbo bila kuwa na direct evidence huwezi kumfikisha mtu mahakamani bwa mdogo rudi shule upate kujua haki zako za msingi na kama wewe mzee mbona shule zipo tu zinafundisha watu wazima!
 
Ninayo masikitiko makubwa kwa namna nchi inavyokwenda hasa CCM kuwalinda kwa NGUVU zote wauza unga na mafisadi.

Waliapa kuwashughulikia Mafisadi hasa walifocha fedha nje lakini majuzi nimesikia mkuu mmoja akisema hawana fedha za kwenda Uswiswi kufuatilia fedha zilizofichwa huko! Alipotakiwa kueleza kama wamewasiliana na Ubalozi wao hapa nchini alikuwa 'mbogo' kweli kweli.

Hivyo hivyo kwa madawa ya kulevya nayo pia hawataki kuchukua hatua hasa ikizingatiwa kuwa yanamaliza vijana wetu.😕

"QUO VADIS TANZANIA?" Nchi hii inaenda wapi? Manake si ajabu hata uchaguzi ujao Chachamaa kitashinda kwa kishindo! Na tutaendelea kubaki na maumivu ya mawazo......wakati Mafisi wanaendelea kutanua!
 
Sheria za nchi zikoje jee unaifahamu vizuri katiba ya nchi?ndio mana nikakwambieni mnapoteza muda mwingi sana kwenye mitandao kuangalia picha za wakubwa na kupost utumbo bila kuwa na direct evidence huwezi kumfikisha mtu mahakamani bwa mdogo rudi shule upate kujua haki zako za msingi na kama wewe mzee mbona shule zipo tu zinafundisha watu wazima!

ninamashaka nawewe sio siri.hata huoni? Husikii? Hata meli iliyokamatwa italia hujaona hata kuambiwa? Au nawewe ni gamba?
 
Ninayo masikitiko makubwa kwa namna nchi inavyokwenda hasa CCM kuwalinda kwa NGUVU zote wauza unga na mafisadi.

Waliapa kuwashughulikia Mafisadi hasa walifocha fedha nje lakini majuzi nimesikia mkuu mmoja akisema hawana fedha za kwenda Uswiswi kufuatilia fedha zilizofichwa huko! Alipotakiwa kueleza kama wamewasiliana na Ubalozi wao hapa nchini alikuwa 'mbogo' kweli kweli.

Hivyo hivyo kwa madawa ya kulevya nayo pia hawataki kuchukua hatua hasa ikizingatiwa kuwa yanamaliza vijana wetu.😕
Ni kwasababu hata mwenyekiti wa Chama ni mdau mkubwa kwenye biashara hiyo
 
kwasababu pesa zote chafu ni chanzo cha mapato ya CCM.
 
Lete ushahidi unao unyesha kama ccm wanawalinda hao mafisadi na wauza unga unajua nyinyi vijana mnapoteza muda wenu mwingi kulipa elfu moja kukaa kwenye internet kuhatarisha maendeleo yenu muda wakwenda shule nyinyi kazi yenu kupost utumbo tu kwenye JF
Mmmmmmmm! ndugu yangu hili nalo linahitaji ushahidi? ni chama gani kinaongoza serikali?
 
Nchi hii haitaongozwa na wahuni Chadema never hilo msahau. Njooni na kila aina ya uzushi na hampati kitu.
 
Back
Top Bottom