Kwanini CCM wanalaumu CHADEMA kujitoa Uchaguzi Serikali za Mitaa? Sababu hizi hapa...

Hii haiwezi ikatokea kwa nchi zenye uchumi wa kati kama Urus,China au Iran,nchi ya kimasikini kama hii ambayo hatuna cha kujivunia,ukiwekewa kikwazo kimoja tu dola moja inakuwa laki moja ya Tanzania,kwa nini mkate usinunuliwe kwa milioni moja
Mpenzi kumbe unajua kujenga na kutetea hoja, ukiwa nje ya MMU!!
 
Wewe ni limbukeni usiye na akili, unadhani kwenda huko marekani na ulaya ni sifa ama, acha kuwa mtumwa wa watu ndugu, waafrika tuna nguvu na tuwezo wa kujitegemea kama Raisi wetu wa awamu ya tano anavyotekeleza miradi kwa fedha za ndani
Wewe acha kudanganya watu bana.Unajua mahitaji ya hii nchi kweli au unachojua nikununuliwa ndege tu.Nchi hii bado inawahitaji sana mabeberu kuanzia uwezo wa nchi zao hadi raia mmoja moja kuanzia kwenye utalii, madini na rasilimali mbali mbali.Sasa unapojitapa unajitegemea nikwalipi hasa.
 
Fedha za ndani kugharamia mradi wa kufua umeme wa kilowati 2115
  • 26 Julai 2019
View attachment 1258241
Raisi John Magufuli ameweka jiwe la msingi kwenye mradi mkubwa wa kufua umeme katika mto Rufiji utakaozalisha umeme wa kilowati 2115

source: BBC 26 Julai 2019 (Tanzania yazindua mradi wa kufua umeme wa Stiglers)
Mjomba hii ndio Sayansi mnayo ielewa nyinyi tu, hii kitu haingii kichwani TZ mapato yake haiwezi hata kulipa mishahara sasa mnaposema mnagharamia mradi wa billions $US it doesn’t add up ni uongo ndio maana mnafukuza CAG, vitu havipitishwi bungeni ni uongo. Time will tell mbivu na mbovu tutajua juilize na hela za kununulia ndege zinatoka wapi au ndio 1.5t plus plus zinazotoweka kila mara deni la taifa linalotriple. Msishangilie tu nyumba kuwa na bustani ya maua mazuri wakati nyufa za ukutani zinazidi kukua.
 
Kujitoa kwa vyama vikubwa vya upinzani hasa CHADEMA kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni pigo kwa CCM na serikali kwenye jumuiya ya kimataifa.

Ni juzi juzi tu yale mashirika ya kimataifa HRW na Amnesty yametoa report mbaya juu ya haki za kiraia nchini Tanzania; kujiondoa CHADEMA ni pigo lingine kwa watawala juu ya yale wanayotuhumiwa kuyafanya.

Jumuiya ya kimataifa ikikunyooshea vidole na kila wakati wakawa wanakujadili kwenye vyombo vyao vya habari kuna negative impact kwenye uchumi wa nchi.

Tunataka watalii waje Tanzania, watakimbia, biashara za kimataifa zitakuwa mbovu na sarafu yetu itashuka thamani. Madhara ni mengi ndiyo maana CCM wameumia CHADEMA kujitoa serikali za mitaa.

Na muda si mrefu ban zitaanza kutembea kwa baadhi ya viongozi wa serikali kutoenda Marekani au Ulaya. Viongozi hao ni Rais Magufuli; mawaziri ambao muda si mrefu watakula ban ni Kangi Lugola, Prof Kabudi, Balozi Mahiga, na mkuu wa polisi IGP Sirro.

Kama hawatabadili mfumo wa utawala, time will tell.
Huyu bushmen yeye anajari madaraka yake,ila maslahi ya nchi si kipaumbele chake
 
Back
Top Bottom