Kwanini CCM hawashangilii Ushindi wa kesi dhidi ya Lema?

Kwanini CCM hawashangilii Ushindi wa kesi dhidi ya Lema?

maskini! Mpaka unatia huruma ulivyokuwa mpole. Rejao yuko wapi? Manake naona ww ndo kidogo umeanza kupata nguvu baada ya " msiba" arumeru
rejao na mwigulu wote wamezimia kwa sasa labda watazinduka baadae. Wapo icu
 
Mi pia nilidhani watashangilia coz kama uchaguzi ungefanyika Arusha wangepata aibu zaidi ya hii. Maana dhuluma haikai pamoja na Haki
Wakuu, nimejaribu kufuatilia
viongozi wa CCM na wafuasi wa CCM kwenye mitandao. Lakini sijaona hata
mmoja akionyesha kufurahia Ushindi wa Kesi dhidi ya aliyekuwa mbunge wa
Arusha Mjini Ndugu Godbless Lema. Hii inaashiria nini kisiasa? Ama ndiyo
wameshakata tamaa na siasa za Arusha? Au tunaweza kuuita ushindi huu
"ushindi wa machungu..."
 
Washangilie au waomboleze? leo watakuw na mikojo isiyoisha kisha presure kupand na kushuka,USHINDI UNATISHA. ccm pangeni ratiba yenu ya kesho mciishangae ya Lema, mmebaki kuzuia goli kuliko kutafuta goli,
 
Back
Top Bottom