Hahahahaaaa, hawampendi kwa kipi? Mwanasiasa wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Tz. Kosa lake- kubadili gia angani, jambo lisilokubalika ktk. jamii ambayo inathamini uadilifu, sifa na.1 popote kwa anayetaka kuwa kiongozi wa nchi. Eti cdm wamepata faida, sawa, lakini nilisema na nasema tena Mbowe ni sawa na muuza bangi au unga kwani nao hupata faida kubwa ila hawana heshima ktk. jamii. Kwa watu wastaarabu, waadilifu, wenye fikra pevu, wenye mapenzi mema na nchi hii hawawezi kubaliana na upuuzi alioufanya Mbowe. Ni mfano mbaya kwa wanasiasa wachanga na vizazi vijavyo. Ameshusha heshima yake na ya cdm. Pia hafai kuwa KUB.
Vijana wetu wameheuka kwa upuuzi wa huyu bwana kwani walibaki kuzungusha mikono hewani kama wehu. Lazima serikali isahihishe hali hii, vijana wetu watambue sifa na.1 ni uadilifu kwa kiongozi.
Hakuna ambae hampendi Mbowe, bali amejidharaulisha. Dr. Slaa amejijengea heshima na ni mfano mzuri kwa wanasiasa wachanga na vizazi vijavyo.