Kwanini CCM hawampendi Mbowe?

Kwanini CCM hawampendi Mbowe?

H.T.P

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
1,169
Reaction score
1,298
Nimekuwa nikijiuliza sanasana maswali mengi, hivi ni kwanini CCM hawampendi Mbowe? Na wamekuwa wakihangaika sana kutengeneza propaganda kila kukicha?

Leo nimepata walau kaufahamu kidogo baada ya tathmini ndogo naamini waungwana wataungana na mimi.

Nilichokijua kikubwa ambacho ni mwiba wa CCM ni misimamo ya Mbowe na ujasiri wake,

Pili ni nguvu ya ushawishi, kiukweli Mbowe ana nyota ya ushawishi kama hukubali Muulize Magufuli, ili mlazimu kutumia kauli mbiu ya mabadiliko ili walau apate kusikilizwa na raia

IQ ya Mbowe iko juu sana, anaona mambo ya msingi na kuyafanyia kazi kabla mtu wa kaiwaida hajaona. Angalia usajili wa Lowasa, umuhimu wa jambo lile utaonekana baadae.

Lakini kikubwa sana kinachowatoa jasho CCM ni uwezo wa Mh Mbowe kujenga hoja.....mwenye upeo ongeza mengine unayoyaona kw Mh Mbowe.
 
DJ Mbowe. IQ kubwa kiasi kwamba A level aliambulia mzinga.
 
Ana msimamo hayumbishwi wala hana bei kama Dr. Mihogo na Kiongozi Mkuu wa chama
 
Mbowe ni mtoto wa mjini,siasa yake sio ya kuiga na kukariri,kibaya zaidi anaheshimika kuliko hata rais na PM
 
Kamanda umewagusa na hawawezi ku coment uzi huu watapita kama hawauoni. Waende zao na kunuka midomo.
 
Kingine ni jinsi alivyo na uwezo wa kiuchumi,sio wale waliopata fedha za dili yaani 10%.
 
Mbowe tishio, alimwona mihogo ni mzigo akasajili mchezaji mpya aliyefunga magoli refaa akayakataa na kumpa ushindi jpm. Ushindi wa mezani huo
 
Hawana hata sababu za kumchukia mbowe utasikia eti mchaga mara anaua chadema as if they really care abt cdm!!! Na wakikutana nae huwa wanamchekeachekea tu ka mkwe wao!!! They are ol cowards kumface hawawez hata kidg!!! Nakumbuka kweny mita 200 mahakam ilitoa amri asibaki mtu ila mbowe alipingana na hyo kauli mpk tarehe 24...na alisema piga kura hesabu mita 200 subr matokeo!!! Cha ajabu ccm walimsikia na hakuna aliyefanya kitu!!!! Sijwah ckia mtu akimtukana mbowe kiujasir labda watumie mafumbo,,, Cjui ana nn yaan mpk wanamuogopa hvyo!!!! Atakua ni bwana yao!!!!! Maaana huwa wanajipendekeza balaa c muda utaona wanamuita wapige selfie
 
Anaogopwa na nani!? Tatizo watu hawana sababu ya kulumbana na DIV 0.
 
Wameweza washinda kina lyatonga, cheyo, lipumba, slaa lakini kimsingi Mbowe na Seif ndo wapinzani makini na wasio yumba..... Mti wenye matumda ndo unao pigwa mawe sana... mh. Mbowe usikate tamaa.... endeleza mapambano mkuu....
 
Nsmkubali sana kamanda Mbowe, huyu jamaa anastahili tuzo ya mwanasiasa bora wa mwaka!
 
Mtu anayeita wenzie dv0 ID yake ni rallphrider! Hii Tanzania bwana
 
Acheni kujitekenya na kicheka wenyewe, kiuhalisia heshima ya mbowe imeshuka mno kuliko mnavyodhani kinachombeba sasa ni huo umoja wenu wa ukawa. Ukiwa na makengeza kwenye ubongo huwezi tambua hilo
 
Acheni kujitekenya na kicheka wenyewe, kiuhalisia heshima ya mbowe imeshuka mno kuliko mnavyodhani kinachombeba sasa ni huo umoja wenu wa ukawa. Ukiwa na makengeza kwenye ubongo huwezi tambua hilo

Mmmm..hebu rudia kusoma ulichokiandika..alafu utuambie nani anajitekenya na kucheka mwenyewe.
 
Mmmm..hebu rudia kusoma ulichokiandika..alafu utuambie nani anajitekenya na kucheka mwenyewe.

Ujumbe umeupata huo ndio ukweli, wengi washapoteza imani na huyo mbowe wako ila sio vibaya ukiendelea kumpigia debe
 
Mbowe na wapinzani wote kwa ujumla ndio wapinzani kegelege kabisa kutokea Afrika
 
Back
Top Bottom