Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
Chenge has no following ndani ya CCM. You will see matokeo ya uspika yakitoka. Kura za maoni showed who is loyal to the party and who is not. And thanks to kura za maoni za CCM, your party has Iringa Mjini, Maswa, and Bukombe. Do not expect to see the party fighting for Chenge or Sitta. They are all lost causes, and CCM MPs will swiftly put both of them down. Anna Abdallah is your next speaker.
Nadhani baada ya Edward Lowassa kulazimishwa kujiuzuru CCM will never be the same again!
Kulikuwa na "Kingdom" inatengenezwa ndani ya CCM under EL ambayo bado inahisi kuwa walihujumiwa and by any means possible wanatafuta a sweetest revenge. This is why here comes Andrew Chenge! Sina details za ndani, ila naweza kususpect hata tulioyaona kwenye uchaguzi kuanzia "kura za maoni" na "kuongezeka viti vya ubunge kwenye kambi ya upinzani" kukawa na "Mkono" wa EL! {dis-armed}
It wil not surprise me kumuona Andrew Chenge akichaguliwa SPIKA na pia kuona Bunge dhaifu tangia tupate Uhuru - Wait and See!
Chenge has no following ndani ya CCM. You will see matokeo ya uspika yakitoka. Kura za maoni showed who is loyal to the party and who is not. And thanks to kura za maoni za CCM, your party has Iringa Mjini, Maswa, and Bukombe. Do not expect to see the party fighting for Chenge or Sitta. They are all lost causes, and CCM MPs will swiftly put both of them down. Anna Abdallah is your next speaker.
Anna Abdallah is your next speaker.
unasema kuwa internal party wrangling are now over and the party is united? We should not expect any kugongana within CCM?
unasema kuwa internal party wrangling are now over and the party is united? We should not expect any kugongana within CCM?
Mkuu wangu hii imeshapangwa toka mwanzo. Chenge anagombea kiti hicho dhidi ya Sitta kwa sababu ndiye pekee anaweza kusimamisha hoja za Ufisadi zisipate muda wa kuzungumziwa bungeni kwa sababu yeye mwenyewe ni part ya Mafisadi..Mkuu Mwanakijiji,
CCM hawajapatana na Hawatapatana tena, KWa chenge kugombea Uspika ni haki yake ya kikatiba, lakini sababu zilizompelekea yeye kugombea uspika ni za kisasi, chuki, ubinafsi na za kimakundi na za kumshambulia mwanachama mwenzake (spika aliyemaliza muda wake) nje ya vikao vyao rasmi (NEC),
Chenge anataka kulitetea kundi ambalo Sitta ameshindwa kulitetea kwa sababu si mmoja wao kwa kumzalilisha Sitta mbele ya vyombo vya habari ni kuzidi kuimarisha makundi yaliyokuwepo
na CCM sasa inafikia point hata lile kundi kubwa ambalo linakuwaga neutral linaanza kutafuta pa kuelekea kati ya makundo mawili
CCM SI WAMOJA NA HAWATAWEZA KUWA WAMOJA TENA, SASA HAKUNA MTU WA KUKEMEA MAANA HATA MZEE MWINYI, MALECELA, MSEKWA NA MKAPA NGUVU NA MVUTO WAO NDANI YA CCM UMEKWISHA
Mkuu Mkandara lakini hata Chenge akiwa supika akazuia mijadala ya ufisadi bungeni sisi hatuwezi kuishughulikia nje ya bunge? maana hata Six alijaribu mbinu hizo na cha moto alikiona!Mkuu wangu hii imeshapangwa toka mwanzo. Chenge anagombea kiti hicho dhidi ya Sitta kwa sababu ndiye pekee anaweza kusimamisha hoja za Ufisadi zisipate muda wa kuzungumziwa bungeni kwa sababu yeye mwenyewe ni part ya Mafisadi..
Kwa hiyo sii swala la Chenge, wala msimchukie Chenge kwa sababu ilikwisha pangwa na ndio maana kisha koshwa na hujuma zote!..Kama Chenge angeshindwa basi Mramba angeshinda na kuwa Spika na wala Usije shagaa kusikia Lowassa naye kagombea..
Utalishughulikia vipi?.. kama tumeshindwa kushughulikia Uchaguzi huu ambao jana tu tumeibiwa, leo unategemea Watanzania kujipanga ktk Ufisadi kitu ambacho wengi hawaamini wala hawataki uondoke kwa sababu ndio kula yao!Mkuu Mkandara lakini hata Chenge akiwa supika akazuia mijadala ya ufisadi bungeni sisi hatuwezi kuishughulikia nje ya bunge? maana hata Six alijaribu mbinu hizo na cha moto alikiona!
Chenge has no following ndani ya CCM. You will see matokeo ya uspika yakitoka. Kura za maoni showed who is loyal to the party and who is not. And thanks to kura za maoni za CCM, your party has Iringa Mjini, Maswa, and Bukombe. Do not expect to see the party fighting for Chenge or Sitta. They are all lost causes, and CCM MPs will swiftly put both of them down. Anna Abdallah is your next speaker.
Kaka washakumegea inside info.......mi ndio nakuaminia hapo!Chenge has no following ndani ya CCM. You will see matokeo ya uspika yakitoka. Kura za maoni showed who is loyal to the party and who is not. And thanks to kura za maoni za CCM, your party has Iringa Mjini, Maswa, and Bukombe. Do not expect to see the party fighting for Chenge or Sitta. They are all lost causes, and CCM MPs will swiftly put both of them down. Anna Abdallah is your next speaker.