Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,460
- 39,927
Katika kampeni na uchaguzi walionekana kama wana umoja fulani, umoja wa kuzuia Dr. Slaa asishinde na CHadema wasifanye vizuri. Waliweza kuzuia Dr. Slaa asishinde lakini walijikuta wanapata kipigo cha fedheha kutoka kwa Chadema. Umoja wao ulipendeza majukwaani huku wote wakiwa wamevaa nguo zao za kijani na njano.. niliamini kuwa sasa mgogoro ndani ya CCM umekwisha..
The came Chenge...
Kwanini CCM hawajapatana? Je wanaweza kupatana au upinzani mkubwa Bungeni utakuwa na nguvu zaidi kwa sababu tayari wapo wapinzani wengine ndani ya CCM?
The came Chenge...
Kwanini CCM hawajapatana? Je wanaweza kupatana au upinzani mkubwa Bungeni utakuwa na nguvu zaidi kwa sababu tayari wapo wapinzani wengine ndani ya CCM?