Elections 2010 Kwanini CCM hawajapatana na hawawezi kupatana?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,461
39,928
Katika kampeni na uchaguzi walionekana kama wana umoja fulani, umoja wa kuzuia Dr. Slaa asishinde na CHadema wasifanye vizuri. Waliweza kuzuia Dr. Slaa asishinde lakini walijikuta wanapata kipigo cha fedheha kutoka kwa Chadema. Umoja wao ulipendeza majukwaani huku wote wakiwa wamevaa nguo zao za kijani na njano.. niliamini kuwa sasa mgogoro ndani ya CCM umekwisha..

The came Chenge...

Kwanini CCM hawajapatana? Je wanaweza kupatana au upinzani mkubwa Bungeni utakuwa na nguvu zaidi kwa sababu tayari wapo wapinzani wengine ndani ya CCM?
 
Na ndiyo maana ya move ya Chenge, ili wale (wa CCM) walioonekana Bunge lililopita kuungana na wapinzani, safari hii wafungwe minyororo chini ya mwamvuli wa chama tawala. Ingawa kwa maono yangu inaweza kuzidisha mpasuko zaidi ndani ya CCM kuliko kuijenga.
 
Chenge has no following ndani ya CCM. You will see matokeo ya uspika yakitoka. Kura za maoni showed who is loyal to the party and who is not. And thanks to kura za maoni za CCM, your party has Iringa Mjini, Maswa, and Bukombe. Do not expect to see the party fighting for Chenge or Sitta. They are all lost causes, and CCM MPs will swiftly put both of them down. Anna Abdallah is your next speaker.
 
Anna Abdallah???????
 
Nadhani baada ya Edward Lowassa kulazimishwa kujiuzuru CCM will never be the same again!

Kulikuwa na "Kingdom" inatengenezwa ndani ya CCM under EL ambayo bado inahisi kuwa walihujumiwa and by any means possible wanatafuta a sweetest revenge. This is why here comes Andrew Chenge! Sina details za ndani, ila naweza kususpect hata tulioyaona kwenye uchaguzi kuanzia "kura za maoni" na "kuongezeka viti vya ubunge kwenye kambi ya upinzani" kukawa na "Mkono" wa EL! {dis-armed}

It wil not surprise me kumuona Andrew Chenge akichaguliwa SPIKA na pia kuona Bunge dhaifu tangia tupate Uhuru - Wait and See!
 
Wont be a surprise to me, weak presida and weak bunge for a weak nation
 
Chenge has no following ndani ya CCM. You will see matokeo ya uspika yakitoka. Kura za maoni showed who is loyal to the party and who is not. And thanks to kura za maoni za CCM, your party has Iringa Mjini, Maswa, and Bukombe. Do not expect to see the party fighting for Chenge or Sitta. They are all lost causes, and CCM MPs will swiftly put both of them down. Anna Abdallah is your next speaker.

unasema kuwa internal party wrangling are now over and the party is united? We should not expect any kugongana within CCM?
 
Mwanakijiji hivi kazi ya kamati ya mzee Mwinyi ilikuwa nini vile? Naomba nikumbushwe.
Niliwahi kuandika post moja hapa JF kwamba makundi hayavunjikii kwenye majukwaa bali yanavunjwa mioyoni mwa watu, pale nilipokuwa naona huge hypocrisy ndani ya wana ccm . It has Proved right!
 
unasema kuwa internal party wrangling are now over and the party is united? We should not expect any kugongana within CCM?

I THINK, the party is united moving forward. Kama kada wa CCM, in my opinion--we now know who are the real CCM members and who are lurking for madaraka. This talk that Sitta and Chenge will divide the party is just talk. CCM MPs knows their speaker and they will vote her in. And if Sitta or Chenge have issues, they can join Chadema or whoever is used kukomba makapi ya CCM. The party priority is to deliver on their ilani ya uchaguzi. The rest is just loose talking.
 
Mzee Mwanakijiji,
Mkuu wangu Bungeni hapatakuwa namgogoro wowote kwa sababu wabunge wote waliopita kwa tiketi ya CCM walipitishwa majina yao na Mtandao chini ya kinara wao Lowassa. Hivyo kila mmoja wao anajua fika kwamba pasipo Lowassa kulipitisha jina lake asingepita kirahisi. Mimi nina mashaka makubwa sana na baadhi ya Wapiganaji ambao majina yao yalipita hali wakiwa wapinzani wa Mtandao. Sielewi waliweza vipi unless kuna kitu tusichokifahamu hapa kwani FEDHA na madaraka yanaweza kabisa kuondoa utu wa mhusika.

Yawezekana wameahidiwa nafasi kubwa na nyeti ktk uongozi wa wizara hivyo kujiona wametoka kwa sababu mara nyingi sisi Watanzania ni wanafiki wa kutupa, ukipewa Ulaji basi ndio unashusha manyanga ya Upambanaji. Yawezekana pia ushindi (kura za maoni) wao ulikuwa mkubwa kiasi kwamba Mtandao walishindwa kubadilisha matokeo na hata kulazimika kuwaacha kama walivyo..

Binafsi sioni kaa kuna lolote litakalo kuja tokea hasa baada ya Mwinyi na Kinana kuwa mshiriki mkubwa wa upatanisho ktk makundi haya na maadam hawa bado ndio nguzo pekee ya JK sasa hivi nadhani CCM watajipanga kutetea zaidi maslahi ya Mtandao kwani wadhungu wanasema If U can't beat them, join them...CCM asilia kina Butiku woote walikuwa kimyaaa uchaguzi mzima hata kuinua kidole walishindwa, zile kelele zao kabla ya uchaguzi ziliishia wapi?
 
unasema kuwa internal party wrangling are now over and the party is united? We should not expect any kugongana within CCM?

Mkuu Mwanakijiji,
CCM hawajapatana na Hawatapatana tena, KWa chenge kugombea Uspika ni haki yake ya kikatiba, lakini sababu zilizompelekea yeye kugombea uspika ni za kisasi, chuki, ubinafsi na za kimakundi na za kumshambulia mwanachama mwenzake (spika aliyemaliza muda wake) nje ya vikao vyao rasmi (NEC),

Chenge anataka kulitetea kundi ambalo Sitta ameshindwa kulitetea kwa sababu si mmoja wao kwa kumzalilisha Sitta mbele ya vyombo vya habari ni kuzidi kuimarisha makundi yaliyokuwepo

na CCM sasa inafikia point hata lile kundi kubwa ambalo linakuwaga neutral linaanza kutafuta pa kuelekea kati ya makundo mawili

CCM SI WAMOJA NA HAWATAWEZA KUWA WAMOJA TENA, SASA HAKUNA MTU WA KUKEMEA MAANA HATA MZEE MWINYI, MALECELA, MSEKWA NA MKAPA NGUVU NA MVUTO WAO NDANI YA CCM UMEKWISHA
 
Mkuu wangu hii imeshapangwa toka mwanzo. Chenge anagombea kiti hicho dhidi ya Sitta kwa sababu ndiye pekee anaweza kusimamisha hoja za Ufisadi zisipate muda wa kuzungumziwa bungeni kwa sababu yeye mwenyewe ni part ya Mafisadi..
Kwa hiyo sii swala la Chenge, wala msimchukie Chenge kwa sababu ilikwisha pangwa na ndio maana kisha koshwa na hujuma zote!..Kama Chenge angeshindwa basi Mramba angeshinda na kuwa Spika na wala Usije shagaa kusikia Lowassa naye kagombea..
 
Mkuu Mkandara lakini hata Chenge akiwa supika akazuia mijadala ya ufisadi bungeni sisi hatuwezi kuishughulikia nje ya bunge? maana hata Six alijaribu mbinu hizo na cha moto alikiona!
 
Utalishughulikia vipi?.. kama tumeshindwa kushughulikia Uchaguzi huu ambao jana tu tumeibiwa, leo unategemea Watanzania kujipanga ktk Ufisadi kitu ambacho wengi hawaamini wala hawataki uondoke kwa sababu ndio kula yao!
KIFUPI tuishi kama tulivyoumbwa, wakati mwingine woga (FEAR) ni sehemu ya heshima inayoleta amani na Utulivu na CCM wajuzi wa kutumia lugha hiyo..
 
Chenge has no following ndani ya CCM. You will see matokeo ya uspika yakitoka. Kura za maoni showed who is loyal to the party and who is not. And thanks to kura za maoni za CCM, your party has Iringa Mjini, Maswa, and Bukombe. Do not expect to see the party fighting for Chenge or Sitta. They are all lost causes, and CCM MPs will swiftly put both of them down. Anna Abdallah is your next speaker.

I think Selemani is on the right track here.

Anna Abdallah (mke wa Pius Msekwa) will emerge as a compromise candidate and (this is really important), at the same time reward Pius Msekwa for what he has done behind the scenes to save the Kikwete presidency in 2010.

Sitta had his chance in 2005 and Mama Sitta rode the cocktail all the way to the cabinet. Makamba got January to be an MP, and possibly more to come. Kinana will also enjoy the spoils of victory at some point, if not doing so already.

That leaves Msekwa, and by default Anna Abdallah to capture the Speakership and bring her back into the fold after losing big in UWT under Sophia Simba.
 
Lakini tukirudi nyuma tutafakali katika hawa wagombea USPIKA tokea CCM kama JOB NDUGAE nadhani ni mmoja wa mafisadi kwani yeye yupo kama vile ni mmoja wetu sie tunaopinga vita ya mafisadi lakini kavaa ngozi ya Chui huyi mtu nina mashaka sana nae kuwa CCM yaweza mpitisha maana yeye yupo yupo machoni pa raia anaonekana yuko safi na hana upande
 
Chenge has no following ndani ya CCM. You will see matokeo ya uspika yakitoka. Kura za maoni showed who is loyal to the party and who is not. And thanks to kura za maoni za CCM, your party has Iringa Mjini, Maswa, and Bukombe. Do not expect to see the party fighting for Chenge or Sitta. They are all lost causes, and CCM MPs will swiftly put both of them down. Anna Abdallah is your next speaker.
Kaka washakumegea inside info.......mi ndio nakuaminia hapo!
 
Chenge has no following ndani ya CCM. You will see matokeo ya uspika yakitoka. Kura za maoni showed who is loyal to the party and who is not. And thanks to kura za maoni za CCM, your party has Iringa Mjini, Maswa, and Bukombe. Do not expect to see the party fighting for Chenge or Sitta. They are all lost causes, and CCM MPs will swiftly put both of them down. Anna Abdallah is your next speaker.

Mkuu Selemani unaizungumzia hii CCM na Tanzania yetu tunayoifahamu? All I can say lolote lionaweza kutokea!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom