Kwanini bwawa la Mtera linazalisha umeme kidogo kuliko bwawa la Kidatu?

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
31,876
33,308
Kwanini bwawa la Mtera ni kubwa kuliko Kidatu lakini production yake ni 80MW wakati Kidatu ambalo ni dogo kuliko Mtera linatoa 200MW

Mtera Dam
1644831613164.png

Kidatu Dam

1644831771250.png
 
Mtera lilijengwa Ili kuzuia mafuruko baadae tanesco wakaona kuna fursa ya kuzalisha umeme.

Ndo maana lipo chini ya bonde la pangani.
 
Mtera lilijengwa Ili kuzuia mafuruko baadae tanesco wakaona kuna fursa ya kuzalisha umeme.

Ndo maana lipo chini ya bonde la pangani.
Kulikuwa na mafuriko wapi mkuu, dadavua tafadhali
 
Sometimes height ya maporomoko ya maji huchangia sana kwenye uzalishaji wa umeme maporomoko yakiwa marefu umeme mwingi tofauti na mafupi
 
Back
Top Bottom