Buguruni mabuchani hawabandiki bei za nyama, hadi umuulize muuzaji bei. Hapo ndipo wanapotupiga. Mabibo ukipita barabarani/mitaani unaona bei za nyama 6,500 hadi 6,000
AiseeNdugu wana JF salamu. Kuna jambo linanishangaza. Buguruni (sokoni) bei ya nyama ya ng'ombe inaanzia 8,000 hadi 7,500. Tabata 7,000 hadi 6,500. Mabibo 6,500 hadi 6,000. Machinjio yapo Vingunguti karibu na Buguruni lakini bei ya nyama kubwa tofauti na Mabibo ambako ni mbali. Wauza nyama Buguruni acheni wizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mnapigwa sana. Nyama hapa Tandale kwa Mfuga Mbwa kilo tsh 2,500-3,000 unapata nyama freeeeeeesh kabisa. Acheni kuibiwa kibwege.
Mzoga ule mkuu