Kwanini Buguruni bei ya nyama kubwa?

vamda

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
858
533
Ndugu wana JF salamu. Kuna jambo linanishangaza. Buguruni (sokoni) bei ya nyama ya ng'ombe inaanzia 8,000 hadi 7,500. Tabata 7,000 hadi 6,500. Mabibo 6,500 hadi 6,000. Machinjio yapo Vingunguti karibu na Buguruni lakini bei ya nyama kubwa tofauti na Mabibo ambako ni mbali. Wauza nyama Buguruni acheni wizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna bucha huku mwenge huwa wananipiga 8000, sioni taabu ili mradi wasinijazie marapurapu badala ya nyama kisa bei chee.
 
nyie watu wa huo mko mnapenda kulilia sana!sisi AR tushazoea hizo bei acheni kulia lia ndio maana weke zenu wanaishia kugegedwa hadi na wauza magenge
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom