Kwanini Bosi hutembea na Secretary?

Kwanini Bosi hutembea na Secretary?

sasa mnawaambia nini waliooa wanawake ambao ni ma-secretaries kwenye hizi ofisi (private or public)?
 
Bosi akiingia anaona white and black pajas, guu la bia and kota, secretary anaona vitz, passo nk; inapaki hapo nje ya ofisi, plus lunch ya mchana ya ukweli. Hapo lazima wabadilishane tu, Bosi amnunulie gari na amtoe lunch mchana, na secretary lazima ampe paja jeupe, jeusi nk; -
 
Back
Top Bottom