Kwanini binti awe na mahusiano na mwanaume aliyeoa na amkatae kijana mwenzake ambaye hajaoa?

mpongopongo

Member
Nov 1, 2010
16
0
ndugu
wana jamii hili suala limekuwa likinitatiza binti mbichi kabisa kuwa na mausiano na mwanaume aliye oa kwanini asijiusishe na kijana mwenzake ladba ipo siku mambo yakwa mazuri......................
 
waliooa ambao ni wakware wengi wao ni watu wenye pesa na nafasi ktk jamii kijana ndo kwanza umetoka chuo mwaka jana umeanza kazi ukiombwa elfu hamsini mpaka mshahara utoke wakati mme wa mtu tayaricyuko stable kila weekend anahonga kilo na dada zetu wanapenda gud life ya fasta fasta they are likely to opt for these married men than vijana alosto
 
Wanaume wengine wanakuwa siwakweli wanawadanganya kuwa hawajaoa na unakuta mapenz yakishakolea mdada ndo anakuja kugundua. Na asilimia kubwa ni wale wanaume ambao hawaishi na familia zao
 
Mume wa mtu mtamu wanasema wenyewe, hii ni tamaa yetu sisi wasichana wenyewe hapo hamna cha kusingizia wanaume sababu na sie tunakubalije? kama msichana ukitongozwa na mume wa mtu ukakataa atakulazimisha? labda kwa wale wanaodanganywa na hao wanaume kwamba hawajaoa
 
Protection, security, collateral, atm... Need i say more? Na unaposema aliyeoa u specify. Kwa hiyo hata konda aliyeoa nae anang'ang'aniwa?
 
Hakuna msichana anayependa mwanaume ambaye wasichana wenzie hawampendi,so aliye kwenye ndoa anakuwa best candidate,hujawahi kujiuliza kwa nin ukiwa na dem na wengine wanajilengesha,ukiwa huna huoni mtu
 
Pesa. Mabinti wa leo wanataka kijana awe na gari, na gari iwe ya maana. That is why are ending up being vimada. Hawajuhi kuwa hata hao wenye magari mazuri wengi wao walioa wakiwa hawana hata baiskeli.
 
Kuna dada ni nyumba ndogo ya shemeji yangu yaani toka sijaolewa mpaka leo mwaka wa 8 bado wako wote. I fail to understand. Ni mzuri, hana mtoto. Sijuhi kama real wife anajua maana jamaa aishi kumsifia wife wake at the same time kwenye mitoko mingine huwa anakuwa na hiyo small.

To me naona huyo kimada ni looser maana jamaa ana maisha yake na mke ambaye ana kazi nzuri na watoto. Dada umri unaenda kiasi kwamba jamaa akimpiga chini itabidi atafute serengeti boy au atafute mume mwingine wa mtu.

Dada mwenyewe si masikini ana kazi nzuri, na sidhani hata kama amefuata pesa kwa huyo jamaa. Huwa nasikia hasira sana ninapokuwa nao outing ila ndio hivyo hayanihusu.
 
Mambo mazuri yanaweza kupatika pote kwa mwenye Mke na kwa hasiye na Mke, by the way sisi vijana tuna mambo gani mazuri? hatujui hata abcd... za maisha! Labda kumsaidi kalamu?
 
Approaching and cheating small girls, Those are the things men do! Insatiable desire for sex, kuchovya chovya! Wenyewe wanadia kuwa their milk are still standing (wanasahua ya wake zao yamelala kwa ajili ya kwuazailia watoto) and you know what, they says that WOMANIZERS ARE THE BEST HUSBANDS! No wonders hao wadada wadogo wadogo, wakipewa simu za viganjani, vocha, pesa ya kununua pedo na tops, pesa ya chips, jamaa wadogo wenye age moja na wao wanapigwa nje! Jamaa ikemee hili kwa nguvu zote!
 
Kuna dada ni nyumba ndogo ya shemeji yangu yaani toka sijaolewa mpaka leo mwaka wa 8 bado wako wote. I fail to understand. Ni mzuri, hana mtoto. Sijuhi kama real wife anajua maana jamaa aishi kumsifia wife wake at the same time kwenye mitoko mingine huwa anakuwa na hiyo small.

To me naona huyo kimada ni looser maana jamaa ana maisha yake na mke ambaye ana kazi nzuri na watoto. Dada umri unaenda kiasi kwamba jamaa akimpiga chini itabidi atafute serengeti boy au atafute mume mwingine wa mtu.

Dada mwenyewe si masikini ana kazi nzuri, na sidhani hata kama amefuata pesa kwa huyo jamaa. Huwa nasikia hasira sana ninapokuwa nao outing ila ndio hivyo hayanihusu.
Wanadanganywa miaka inaenda wanashindwa kujinasua, na umri ukienda wanaona wakirudi mtaani watakuwa wa umri wao washamalizwa hivo inabidi wang'ang'anie hapohapo
 
ndugu
wana jamii hili suala limekuwa likinitatiza binti mbichi kabisa kuwa na mausiano na mwanaume aliye oa kwanini asijiusishe na kijana mwenzake ladba ipo siku mambo yakwa mazuri......................
...Mkuu kinachowafanya wawang'ang'anie wanaume wenye wake zao ni uhakika wa matunzo, mapenzi ya kiutu uzima. lakini kumwambia awe na kavulana eti huenda kuna siku mambo yatakuwa mazuri hawana huo muda wa kusubiri mbichi ambazo hazijulikani zitaiva lini?:pound::pound::pound:
 
Zaidi ni uwezo wa kiuchumi walionao hawa watu wazima ili kukidhi mahitaji ya dogodogo,lakini pia security,hawana usumbufu na kauzoefu ka kazi wanakuwa nako hawa watu.
 
Back
Top Bottom