Kwanini binadamu anapomuua kunguni lazima amnuse?

SEGUZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
280
198
Wakuu,

Hulka hii ya kumnusa kunguni, pindi mtu anapomwua nimeona kwa jamii nyingi tu za watu si wazungu, weusi, wa Asia wote wanayo, so naomba munisaidie kujua sababu yake.Pili kunguni wanasababishwa na nini, kuwepo baadhi ya majumba ya watu?
6165daf3040e7be1acb36a5a294ff0d5.jpg
91570734717b3655f184a65f72f28d20.jpg
5b801fee38c7c554b3488c42f6bbbc3f.jpg
ff741e1706b40f9b150f8af1b53cb62f.jpg
97d414161d9544a5cc9f5292aea8fed4.jpg
4d25efb620fddba79284c3a584b2a0fb.jpg
 
Kwasababu ile ile ukimgusa mwanamke sehemu za siri lazima unuse na hutopenda kunawa mikono uendelee kufaidi hiyo harufu hata siku tatu
 
aSANTE kwa kutujuza kuwa nyumbani kwako unawageni, kanunue dawa dukani upulize nyumba yote, usipende kunusanusa
 
Ukishasema harufu tayali ni hewa ya kitu kilichooza na hakiwezi kutoa hewa nzuri.

Na ukishasema "ananukia vizuri" huwezi kusema tena anatoa harufu.

Duh, harufu haina maana ya kitu kilichooza, kuna harufu za aina mbalimbali kama
Harufu nzuri za maua, chakula, viuongo
Harufu mbaya za kitu kilichooza, kinyesi nk
Kuna pia harufu za vitu kama Mafuta, mkaa, kuni nk
 
Wakuu,

Hulka hii ya kumnusa kunguni, pindi mtu anapomwua nimeona kwa jamii nyingi tu za watu si wazungu, weusi, wa Asia wote wanayo, so naomba munisaidie kujua sababu yake.Pili kunguni wanasababishwa na nini, kuwepo baadhi ya majumba ya watu?
6165daf3040e7be1acb36a5a294ff0d5.jpg
91570734717b3655f184a65f72f28d20.jpg
5b801fee38c7c554b3488c42f6bbbc3f.jpg
ff741e1706b40f9b150f8af1b53cb62f.jpg
97d414161d9544a5cc9f5292aea8fed4.jpg
4d25efb620fddba79284c3a584b2a0fb.jpg
Kuhakikisha kama kweli uliyeua ni kunguni Maana hawa wadudu nao wako vizuri kwa kujificha

Sababu za kuwa na kunguni sijui ila Nahisi uchafu, na kama chumba cha jirani WaPo kwako kuwapata ni rahisi Maana wanatembea
 
Harufu ya kunguni ni moja kati vitambulisho vyake (trademark)
Unapomuua kiu ya kujiridhisha kuwa uliyemuua ni kunguni hujitokeza ghafla na huwezi kujizuia.
 
Huyu bwana ana mbio balaaa akikuuma kitandani ,ukifumbua macho yuko juu ya dari.
 
Kunguni anahisia zaidi ya kunguru, anaweza juwa huyu ninaye mg,ata kakala au yupo macho na tena ukimwangalia anakujua niya yako ni nini
 
Mmhh mimi hao kunguni ata siwajui..... Ndo nmewaona leo kwenye picha
 
Mkuu kusema kuwa wewe hujui wala hujamwona kunguni, mawazo yako yapo kuwa wenye kunguni ni wajinga au ni nchi maskini. Kwa taarifa yako jimbo la MICHIGAN -USA, lina kunguni zaidi ya tz.
Mkuu juwa hivyo
acbb30e53ab8a9708839ce39bde5ff7e.jpg
 
Ukishasema harufu tayali ni hewa ya kitu kilichooza na hakiwezi kutoa hewa nzuri.

Na ukishasema "ananukia vizuri" huwezi kusema tena anatoa harufu.
harufu ni kitu kilichooza??
kunukia ni kitu kizuri??
mbona kama pointless hivi
 
Sio kunguni tu. Wengi wakijikuna nywele hasa wanawake waliosuka lazima wanuse mkono au mtu akichokonoa sikio mkono lazima ushuke puani.
 
Back
Top Bottom