Diwani
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,903
- 3,140
Habarini wapendwa, uzi huu ni mahsusi kwa ajili ya wote ambao waliwahi kuwa na biashara na huenda zilifeli, hivi sasa wamebadilisha ama wanaendelea nazo zikiwa na mafanikio.
Lengo ni kutoa funzo kwa wengine, wanaotaka kuanza biashara hizo, nini wazingatie.
Kwa upande wangu, mwaka 2020, nili set biashara ya chipsi chuo fulani hapa Dar, mwanzoni mambo yalikuwa yanaenda vizuri, nilikuwa nakimbiza na faida inaonekana, hata hivyo, wakati huo mdogo wangu alikuwa anamaliza kidato cha nne, alikuja pale akawa anapata pata experience, sasa wakati aote huo, nilimuona amesha master na anaendelea vizuri kabisa, nikaamua nijitose kwenye kataaluma kangu kutafuta kibarua, ili nijiongezee kipato..
Kilichotokea sikuweza kuamini, kuanzia mwaka jana mwezi wa tatu mpaka wa tano biashara ikaanza kuyumba, kuna muda kiasi kinachokusanywa kwa wiki ni kilio tupu, mana nilihamia kigamboni na kwenda mpaka Temeke ilikuwa shughuli kidogo. Nikawa natembelea mara moja moja, aisee, wateja walikuwa wamepungua na chuo kilikuwa hakijafunga wala nini,
Kumbe dogo alikuwa anakula mno totoz za pale, na yeye alikuwa anamuachia mtu, inafika kipindi wateja wanajikuta wana kazi ya kutengeneza bond na mtu mwengine, dogo kaenda kufanya umalaya mtaani humo, kuna wakati alikuwa hafiki kabisa ofisini, mademu walishamchanganya.......aisee, nikaona kila kukicha ni hasara, na vitu kama mafuta yalikuwa yanapanda bei, ku control ilikuwa shida kidogo........
Nikaona isiwe shida, mwezi wa saba niliuza vikoro koro vyote.. nikatuliza kahela kangu kakae kae lakini mwisho hela haikai..
Vipi kwa upande wako?