Kwanini Bashiru Ally anaficha kilichompeleka Zanzibar ?

Kwanini Bashiru Ally anaficha kilichompeleka Zanzibar ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,574
Reaction score
272,320
Bashiru Ally ambaye ni Katibu Mkuu wa ccm anafanya ziara Zanzibar , leo inasemekana yuko Pemba , lakini kwa kauli yake mwenyewe anasema amekwenda kuimarisha chama , anadai baada ya kumaliza kazi hiyo Tanzania bara ( Tanganyika ) sasa ni zamu ya Zanzibar , hii maana yake ccm Zanzibar haikuimarika kama ccm ya bara , Huu ni uongo wa mchana .

Chama ambacho kinaongoza Zanzibar yote bila upinzani wowote tangu 2015 , ambacho Mgombea wake wa Urais alishinda kwa 99% , hiki si cha kutudanganya kwamba amekwenda kukiimarisha , Bashiru Ally aseme ukweli kile alichotumwa kwenda kukifanya Zanzibar ( mimi nakijua ) , awe mkweli wala hana haja ya kuogopa , kwanza anaogopa nini ?

Vinginevyo atueleze wazi kwamba ccm haikushinda 2015 na kwamba haikubaliki Zanzibar kwa 87% , hapo tutaamini kweli kwamba amekwenda kukiimarisha

====


Subpost 1 - Mbali na njama hizo, kikao hicho pia kiliazimia kuiagiza Serikali ya ( 623 X 640 ).jpg

Subpost 3 - Mbali na njama hizo, kikao hicho pia kiliazimia kuiagiza Serikali ya ( 623 X 640 ).jpg


Huu ndio mkakati pekee wa ccm uliobakia kabla ya kuleta vita .
 
Zanzibar ni Ccm

Wachache walikuwa CUF ila walirudi Ccm baada ya kuuzwa na Maalim seif

Acha nicheke kwa nguvu, yaani Simba ikose ubingwa kwa mizengwe, halafu mashabiki wake wahamie Yanga! Bado kuna mbuzi wa hivyo nchi hii?
 
SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA IPO ,
KWAMUJIBU WA KATIBA YA ZANZIBAR.
WARUKE WAKITOJA,UKWELI NDO HUO.
 
Sasa hivi jikite kuangalia namna viongozi wa maisha wanavyosimikiwa na vyama vyao, ya CCM ni makubwa sana kwako
 
Mkuu hakuna yeyote ambae ni threat huko CCM..

Hawa umaarufu wao kwa sasa upo zaidi kwenye WIZI wa kura na mambo mengine ya kipumbavu-pumbavu..

"CCM ni kusanyiko la watu WAPUMBAVU".
Hii ndio maana ya CCM kama utaulizwa na mtu yeyote yule.
 
CUF Ndio walitaka yafutwe kwa hofu ya kushindwa
Naona tunaongea lugha tofauti kabisa-toka lini mshindi akataka uchaguzi ufutwe? Nani alikuwa na kiherehere cha kurudia uchaguzi baada ya kuufuta. Nani waliahidi kuchukua hatua halafu wakamute. Unawakumbuka MCC?
 
Naona tunaongea lugha tofauti kabisa-toka lini mshindi akataka uchaguzi ufutwe? Nani alikuwa na kiherehere cha kurudia uchaguzi baada ya kuufuta. Nani waliahidi kuchukua hatua halafu wakamute. Unawakumbuka MCC?
Mkuu hawa watu wa lumumba sometimes usihangaike kiwajibu ni washenzi tu wanatia hasira
 
Mbowe Ndio alipasua political science Mkuu Huoni alivyowaweka kiganjani wanachama?
Nina hakika masoma ya History na Political Science ulipata +A kama una degree ni ile ya with Honour mkuu
Big up sana
 
Back
Top Bottom