Kwanini bahari haijai?

Thanks
Habari za mchana wananzengo

Mito, Mifereji na vyanzo vingine vya maji hutiririsha maji yake kuelekea baharini

Naombeni kuuliza, ni kwanini bahari haijai?
Bahari inajaa so kweli kua haijai Ila kutokana na ukubwa wake si rahisi kugundua ukichunguza vizuri wanao ishi pwani wanaona badiriko na Kuna baadhi ya visiwa vinamezwa na maji na hivi karibuni Kuna mji umegundulika umezana Kama sikosei karbu na mafia pamoja na mzunguko wa maji kuinyunyizia dunia lakini bahari inaongezeka wanao sema mamilioni ya miaka kutokea haya Kuna ukweli ndani yake
 
Thanks
 
Habari za mchana wananzengo

Mito, Mifereji na vyanzo vingine vya maji hutiririsha maji yake kuelekea baharini

Naombeni kuuliza, ni kwanini bahari haijai?
Nadhani haiwezi kujaa kwa vile maji yakiongezeka inakuja nchi kavu na yakipungua inarudi. Unless dunia isiwepo ndiyo itajaa. Dunia/nchi kavu ni kubwa kuliko bahari hivyo hata ikijaa haiwezi kuisubmerge dunia yaani nchi kazu. Kisayansi nadhani kwa sababu ya "evaporation" ikitokea huo mvuke au hewa inapaa juu na itarudi kama mvua na kujaza tena mito itakayotiririsha tena maji yake baharini. Nadhani ni kwa ajili ya hii evaporation. Mungu ni genius sana.
 
Mtegetwa kafariki kwani ??
 
Nchi kavu na bahari kipi kikubwa? Nchi kavu?...kasome tena vyanzo vyako vizuri [emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ni bahari inajaa au sehemu ya ardhi inadidimia inabidi ujiulize hilo
 
Nchi kavu na bahari kipi kikubwa? Nchi kavu?...kasome tena vyanzo vyako vizuri [emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kama nchi kavu ni ndogo basi sababu ya kutojaa ni evaporation pekee. Lakini jibu zuri ni kwa sababu ya uumbaji wa Mungu. Aliumba bahari iwe hivyo na itakuwa.
 
Dunia ya nchi kavu kubwa kuliko
 
Habari za mchana wananzengo

Mito, Mifereji na vyanzo vingine vya maji hutiririsha maji yake kuelekea baharini

Naombeni kuuliza, ni kwanini bahari haijai?
Ikijaa yanamwagika kwa kwenda mbinguni ila huyaoni ndio hayo yanakuja kuwa mvua
 
Habari za mchana wananzengo

Mito, Mifereji na vyanzo vingine vya maji hutiririsha maji yake kuelekea baharini

Naombeni kuuliza, ni kwanini bahari haijai?
Mkuu kama hukusoma sayansi, hasa Pyhsical Geography, basi kwako yote yatakuwa miujiza.

Lakini kwa hili swali lako, jifunze kuwa maji yaendayo baharini kama maji(liquid), mvuke wa baharini(vapour),mvua(rain) , ujue kuwa kuna uhusioano mkubwa kwa hivi vitu kisayansi, kama ivuatavyo:

Bahari inapigwa jua➡️ unapata mvuke
Mvuke unapanda hewani , kupata baridi➡️ unapata mvua
Mvua inayesha milimani na kukusanyika mabondeni➡️ unapata mito iendayo baharini.

Hiyo kitu inaitwa ATMOSPHERIC CONVECTIONAL CYCLE!


Mkuu kwa vile umeuliza nimeona nitoe somo(ni la form II lakini)
 
Kupwa na kujaa ? Si kuna wakati inajaa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…