elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
I love bb pia ila cost ya kumanage bb ndo inayokwaza wengi maana kulipia service kila mwezi sio wote wana afford
I wish JF wangekuwa na thumb up or down.
kaka bb haijawah kua user friendly bali ni business friendly. bb haina entertainment yoyote games za tabu hivi ushawah hata kusearch game la vita au la mpira? bb ina magame yale yakikapitalist aina ya arkanoid unacheza dk 2 unaliacha.
ishu za miziki video movies mambo ya kustream ipo ovyo kabisa.
pamoja na kua internet yake ipo limited na matumizi mengine inakula salio imemis counter ya kulimit ulaji wa salio
bb imekosa app za bure nyingi na pia application zake haziiingiliani toka os moja kuja nyengine ni rahisi kukuta app ya os 5 huwez ieka os 7
ni mengi yana weakness kwa bb kuwa user friendly. ila ilikuwa ni os nzuri kwa wafanya biashara na makampuni?
why imekufa?
imekufa sababu ya ios imempokonya bb tonge lake la simu ya biashara na hivyo bb kukosa mapato mengi
Umeongea maneno yangu yote. Wasoijua BB wanaweza danganyika na huyu mtumiaji mpya wa BB. Ndio maana umepewa bure.
Umeongea maneno yangu yote. Wasoijua BB wanaweza danganyika na huyu mtumiaji mpya wa BB. Ndio maana umepewa bure.
habari za ndani juu ya kuanguka kwa BB Shortly after the release of the first iPhone, Verizon asked BlackBerry to create a touchscreen "iPhone killer." But the result was a flop, so Verizon turned to Motorola and Google instead.
In 2012, one-time co-CEO Jim Balsillie quit the board and cut all ties to BlackBerry in protest after his plan to shift focus to instant-messaging software, which had been opposed by founder Mike Lazaridis, was killed by current CEO Thorsten Heins. Habari nzima ipo hapa " How BlackBerry blew it: The inside story - The Globe and Mail "
Blackberry ni simu za akina dada BONGO
Wajanja ni iPhone kwa kwenda mbeleeeee
sasa nimeelewa kwanini watu hawapendi bberry na kwanini mimi nimeipenda>kama ulikuwa unatumia HTC kabla ni haki yako ila kwa alieanza kuzitumia hizo BB majanga matupu streaming ovyo urasimu wa matumizi mpaka ulipie ndio upate huduma za email. lakini tangu nihamie android na enjoy to the fullest kuanzia apps nyingi za bure streaming ya uhakika ingawa networks zetu nyingi ni 2g na 3g, email popote hata nikiweka jero napokea mail zangu mkononi, mpaka games za kutosha. kama Kuna lolote namiss katika BB ni BBM tuu ambayo kwa taarifa zilizopo itapatikana ndani ya android pia..
sidhani kama kunipa bure kuna relation na kutokuwa na ubora wake hiyo simu ilikuwa boxed haijatumiwa na ukiulizia dukani inazidi bei ya simu nvingi zinazo run android s
hyo bb 9900 haikai sana chaj, simu nyng za bb hazkai chaj, mayb hii z30, zen garama kubwa kuafford, ndo maana wanapew akna mama ambao hawana mambo meng ya kufanya kweny cm,call na sms bas, kjana wa ksasa huwezjdai na bb, sure nakwambia, iphone,galaxy,lumia, lg, windows phone8 na android, n ulmwengu wa apps.
I wish JF wangekuwa na thumb up or down.
hili hata mm i wish lingekuwepooooooooooooooooooooooo