Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

Ndivyo ulivyoambiwa au uliona?

Niliambiwa na bunge la Tanzania kupitia hansard zake

Nimeona akipita na kugawa pesa misikitini na makanisani

Nimesikia kwenye vyombo vya habari akitajwa kuwa ni fisadi.

Kati ya hayo matatu kuna moja linaweza kuwa sahihi kwa asilimia 150, moja sahihi kwa asilimia 100 na lingine sahihi kwa aslimia 50.
 
afu jaman tuckrem maisha unaezkana uliwah kudokoa nyama wakat mama anapika lakini ikawa ndo mara yako ya kwanza na mwisho na ukawa mtoto mwema nyumban,
sion sababu ya cc kumshtumu lowasa kiac hcho
 
Niliambiwa na bunge la Tanzania kupitia hansard zake

Nimeona akipita na kugawa pesa misikitini na makanisani

Nimesikia kwenye vyombo vya habari akitajwa kuwa ni fisadi.

Kati ya hayo matatu kuna moja linaweza kuwa sahihi kwa asilimia 150, moja sahihi kwa asilimia 100 na lingine sahihi kwa aslimia 50.

Hizo ni kelele za chura
 
Joel Humphrey unatakuwa una matatizo ya kudumu na EL siku akichukua nchi wewe na mataahira wenzako mtakuwa wa kwanza kukimbia nchi.Hapa jamii forum watu wanachangia lkn wewe unagombana. Eti unaita wenzio mijitu wewe ni nani kama sio jitu???Anglia kitu ulichoweka hapo kama picha yako na mawazo yako ndio yalivyo
 
Kwa sababu anawamwagia hela na bodaboda za misaada. ..kwa maisha ya Mtanzania wa kawaida sasa hivi hata kama ww ni mwizi na wanakufahamu ukiwapa kamsaada kdogo tu katakako wapa uhakika wa kula kesho baaaas!!
 
ukinzani uliopo ndan ya ccm unakidhoofisha chama,kitendo cha el,bm,fs,wn na jm kuhojiwa na kuachw wengine n kwamba walikua na taget yao pale,hivyo ccm kukosa m2 wa kurudisha matumain yaliyo potea kwa ccm.
 
Hakuna ukinzani wowote ndani ya CCM unaokidhoofisha chama!. CCM chenyewe kama chama, kimeoza na kunuka rushwa na ufisadi inside out, EL ndie mwenye afadhali!. CCM hakijadhoofika ila kimechokwa kwa kushindwa kudeliver!. Watanzania ni ignorants sana, hivyo CCM ina take advantage ya ignorance ya Watanzania to play games on us!. Play their minds away kwa ahadi hewa na 2015, it will play again, and we all will dance to its tune na kukichagua tena na tena because we are ignorant!.

Kwenye sampling, kama mshindi wa uchaguzi anapatikana kwa simple majority, kati ya Watanzania milioni 46, wenye sifa za kupiga kura ni milini 30, lakini waliojiandikisha kupiga kura ni milioni 20, waliopiga kura ni milioni 8 tuu na kati ya hao, walioichagua CCM ni milioni 6!, na waliochagua upinzani ni milioni 2, CCM imeshinda!, then Tanzania ni taifa la ignorants, wale milioni 10 wenye haki ya kupiga kura lakini hawakujiandikisha ni very very ignorants, wale milioni 12 waliojiandikisha lakini hawakupiga kura ni very ignorants, na hao milioni 6 walioipigia kura CCM ni ignorants, hata kama kuna milioni 2 ambao sio ignorants, the facts kama igronts ni wengi zaidi kuliko hao wengine, then itasemwa Tanzania ni Taifa la ignorants na mwaka 2015 tutaproove tena ignorance yetu!.

Pasco.
 
Hakuna ukinzani wowote ndani ya CCM unaokidhoofisha chama!. CCM chenyewe kama chama, kimeoza na kunuka rushwa na ufisadi inside out, EL ndie mwenye afadhali!. CCM hakijadhoofika ila kimechokwa kwa kushindwa kudeliver!. Watanzania ni ignorants sana, hivyo CCM ina take advantage ya ignorance ya Watanzania to play games on us!. Play their minds away kwa ahadi hewa na 2015, it will play again, and we all will dance to its tune na kukichagua tena na tena because we are ignorant!. Kwenye sampling, kama mshindi wa uchaguzi anapatikana kwa simple majority, kati ya Watanzania milioni 46, wenye sifa za kupiga kura ni milini 30, lakini waliojiandikisha kupiga kura ni milioni 20, waliopiga kura ni milioni 8 tuu na kati ya hao, walioichagua CCM ni milioni 6!, na waliochagua upinzani ni milioni 2, CCM imeshinda!, then Tanzania ni taifa la ignorants, wale milioni 10 wenye haki ya kupiga kura lakini hawakujiandikisha ni very very ignorants, wale milioni 12 waliojiandikisha lakini hawakupiga kura ni very ignorants, na hao milioni 6 walioipigia kura CCM ni ignorants, hata kama kuna milioni 2 ambao sio ignorants, the facts kama igronts ni wengi zaidi kuliko hao wengine, then itasemwa Tanzania ni Taifa la ignorants na mwaka 2015 tutaproove tena ignorance yetu!. Pasco.
Haha..vipi mbona hujahesabu na kura za wizi ni ngapi ktk hiyo m8
 
Hakuna ukinzani wowote ndani
ya CCM unaokidhoofisha chama!. CCM chenyewe kama chama, kimeoza na
kunuka rushwa na ufisadi inside out, EL ndie mwenye afadhali!. CCM
hakijadhoofika ila kimechokwa kwa kushindwa kudeliver!. Watanzania ni
ignorants sana, hivyo CCM ina take advantage ya ignorance ya Watanzania
to play games on us!. Play their minds away kwa ahadi hewa na 2015, it
will play again, and we all will dance to its tune na kukichagua tena na
tena because we are ignorant!.

Kwenye sampling, kama mshindi wa uchaguzi anapatikana kwa simple
majority, kati ya Watanzania milioni 46, wenye sifa za kupiga kura ni
milini 30, lakini waliojiandikisha kupiga kura ni milioni 20, waliopiga
kura ni milioni 8 tuu na kati ya hao, walioichagua CCM ni milioni 6!, na
waliochagua upinzani ni milioni 2, CCM imeshinda!, then Tanzania ni
taifa la ignorants, wale milioni 10 wenye haki ya kupiga kura lakini
hawakujiandikisha ni very very ignorants, wale milioni 12
waliojiandikisha lakini hawakupiga kura ni very ignorants, na hao
milioni 6 walioipigia kura CCM ni ignorants, hata kama kuna milioni 2
ambao sio ignorants, the facts kama igronts ni wengi zaidi kuliko hao
wengine, then itasemwa Tanzania ni Taifa la ignorants na mwaka 2015
tutaproove tena ignorance yetu!.

Pasco.

lkn pasco kwel wenye akil n wale waliochagua upinzani tu?je wao wameweza kudeliver kwenye majimbo wanayoongoza na sasa hakunashda kwa wapiga kura.
 
lkn pasco kwel wenye akil n wale waliochagua upinzani tu?je wao wameweza kudeliver kwenye majimbo wanayoongoza na sasa hakunashda kwa wapiga kura.
Sir Luta, ule msemo unaosema "you can fool some people sometimes!, but you can't fool all the people all the time!", kitendo cha CCM fooling us all the people all the time, ndicho kinachotengeneza "the anatomy of stupidity" kwa chama mile kile, kikitumia mbinu zile zile, kuwadanga watt wale wale miaka nenda miaka rudi, na watt wale wale wakaendelea kukichagua!,hapo ndipo hiyo stupidity na ignorance ilipolalia, na waliochagua wapinzani ndio the only ones waliochagua otherwise regardless hao wapinzani walipita au laa!, na hao wapinzani wether wamedeliver or not!.
Pasco
 
Hakuna ukinzani wowote ndani ya CCM unaokidhoofisha chama!. CCM chenyewe kama chama, kimeoza na kunuka rushwa na ufisadi inside out, EL ndie mwenye afadhali!. CCM hakijadhoofika ila kimechokwa kwa kushindwa kudeliver!. Watanzania ni ignorants sana, hivyo CCM ina take advantage ya ignorance ya Watanzania to play games on us!. Play their minds away kwa ahadi hewa na 2015, it will play again, and we all will dance to its tune na kukichagua tena na tena because we are ignorant!.

Kwenye sampling, kama mshindi wa uchaguzi anapatikana kwa simple majority, kati ya Watanzania milioni 46, wenye sifa za kupiga kura ni milini 30, lakini waliojiandikisha kupiga kura ni milioni 20, waliopiga kura ni milioni 8 tuu na kati ya hao, walioichagua CCM ni milioni 6!, na waliochagua upinzani ni milioni 2, CCM imeshinda!, then Tanzania ni taifa la ignorants, wale milioni 10 wenye haki ya kupiga kura lakini hawakujiandikisha ni very very ignorants, wale milioni 12 waliojiandikisha lakini hawakupiga kura ni very ignorants, na hao milioni 6 walioipigia kura CCM ni ignorants, hata kama kuna milioni 2 ambao sio ignorants, the facts kama igronts ni wengi zaidi kuliko hao wengine, then itasemwa Tanzania ni Taifa la ignorants na mwaka 2015 tutaproove tena ignorance yetu!.

Pasco.

Umesema kweli mdau. Yaani watu hawapigi kura kabisa, halafu hao hao wanalalama, total stupidity, its less than ignorance!
 
Pamoja kuwa Lowasa anatuhumiwa kuwa mmoja wapo katika sakata la Richmond lakini bado kuna baadhi ya Watanzania wanamshabikia. Pia Nyerere aliwahi kuhoji utajiri wa Lowasa akiwa kijana mdogo sana, alihoji kwa kuwa mtumishi wa umma kuwa tajiri vile si rahisi.

Lakini bado tunashuhudia huyu Mheshimiwa akimwaga pesa nyingi katika harambee za kidini, mimi sijui Lowasa kama kiongozi wa umma hizo pesa anazipata wapi maana ni nyingi kwa mtumishi wa umma, kama ni mfanya biashara, huo muda wa kufanya biashara hadi akapata pesa nyingi hizo, muda kaupata wapi.

Wale mnaomshabikia, tunaomba mtufungue macho na sisi tuone mazuri ya Lowasa ambayo wenzetu mmegundua.

Mkuu wa Tanzania au wa Tanganyika ndio wanaompenda huyo fisadi namba 1, hizo anazotoa ni kukuzugeni nyie wapenda mali, si inajulikana mukiona ela munatokwa na utu, akili na ubinaadam, munakuwa tayari kwa lolot, asipendwe!....

Kumbuk " hapendwi mtu Tanaganyk pila y pochi"....ulisahau.....
 
Back
Top Bottom