Kwanini baadhi ya wanawake wanapenda kujirahisisha?

Kwanini baadhi ya wanawake wanapenda kujirahisisha?

kwanini wanawake wanapenda sana kujirahususha kwa wanaume? hivi hamuoni aibu? mwanamke anajirahisisha anafanya visa vya kila aina bila aibu kidume unajifanya kama huoni lakini binti hana habari. hivi hamuoni aibu? wanawake hamkuumbwa hivyo mmeumbwa kufatwa. so acheni kujirahisisha mnaonekana changudoa malaya tu. we mwanamke unajichekeshachekesha ukiona wanaume ili iweje? mkichezewa mkiachwa mnalalamika. sasa mnalalamika nini si mnajipendekeza wenyewe. mwanamke anatakiwa awe na aibu asiwe nungayembe kujirahisiha kama malaya changudoa.

Haya ndio madhara ya kua mmshabiki wa ccm.
 
Eti wewe na mabinti dam dam halafu kijana mkimya mtu wa dini na mademu wanajirahisisha kwako.

I bet you are not well upstairs.
 
Mkuu toka siku ile nilivyosoma ule uzi wako nilihisi utakuwa mtu wa namna gani..Vipi yule umeshampata??

bado sijamwambia. namlia timing. tatzo msichana mwenyewe haonekani yupo bize sana.
 
sio yule yule. mi na mabinti damdam. wanajirahususha sana kwangu ila ndo sina habari nao. mi mtu wa dini bana.

Ukiona unapenda kukitajataja kitu au kukitafutatafuta kila mara ujue unakitamani hata kama mawazo yako yatakwambia una msimamo fulani lakini bado ukawa unapenda kukizungumzia kila mara, ujue kuna uwezekano mkubwa unakipenda sana ila unajizuia.
Kama huna habari na kitu, huwa hakijitokezi mara kwa mara katika mazungumzo yako kabisa. Mfano mzuri ni kama huupendi mpira wa miguu, huwezi kuwa unaulizia matokeo ya mechi wala kuchangia kwenye mada zinazouhusu.
 
Mmmmmm we hata wao wako na feeling's mens sisi ni kwikwi ukikataliwa kosa ukikubaliwa kosa akija mwenyewe kaharibu TUFANYWEJE ???
 
Punguza jazba, asante kwa taarifa. Ila wanaume wanaotongoza ni wachache mno, acha wazitumie fursa ipasavyo
 
Mkuu juzi alivyokuwa anaomba kufundishwa hata we ungemuonea huruma aisee na kumsaidia..Nashangaa leo kashafika huku

Sasa si Kagraduate, mtatafutana na kupoteana sana, kila mahali yupo. Isipite sketi anaikimbiza. Kama umewahi kufuga mbwa utakuwa unalijua hili: Ukimzoeza kumfungia ndani kwa muda mrefu, siku ukimtoa nje ya fensi, atakimbiza mpaka karatasi. Ndiyo mambo ya mdogo wetu huyu.
 
Mwanamke anahaki ya kufikisha hisia zake kwa mtu anaempenda acheni mawazo ya kitoto na kizamani eti mwamke akikutongoza ni malaya
 
Yaani wanaume wa siku hamjielewi kwanini lakini?? Mmmh!!!!! mfyuuuu!!! Ushamba wa kijinga tu.
 
Kwasababu hatupendi kujigumusha, maisha yenyewe mafupi haya, huo muda wa kuzungushana wakati nakuhitaji nawe wanihitaji unatoka wapi? Tunamalizana tufanye mengine ya msingi.
 
Back
Top Bottom