Hilo nalo neno! Usiombe upate mtoto wa mama utajutia mapenzi maana alizoea kila akipata lazima amuonyeshe mama yake sasa kupata mpenzi duuUkiona mwanamke anashindwa kumuomba pesa mwanaume wake...
Ujue huyo mwanaume akiombwa pesa mapovu yanamtoka... Ndiyo maana wengine wanaona bora wajikalie kimya...
Cc: mahondaw
yaani mm mwanamke akiniomba hela ndio mahusiano yanishaTatizo mmekuwa wagumu sana na mkiombwa hela , basi huwa ni matangazo kwa kwenda mbele na kutupa majina ya ajabu ajabu.
Bora huyo kajua kujiongeza hata mie sikumbuki nimeomba lini hela kwa sababu vilivyo vingi naweza jihudumia kwa pesa yangu mwenyewe. Ukiona naomba pesa basi jua nimezidiwa sanaa au naomba kwa ajili ya kumpima mtu imani.
Kwa nini sasa mkuu. Hata kama ana shida?yaani mm mwanamke akiniomba hela ndio mahusiano yanisha
Hujawahi niangusha pacha wanguTatizo mmekuwa wagumu sana na mkiombwa hela , basi huwa ni matangazo kwa kwenda mbele na kutupa majina ya ajabu ajabu.
Bora huyo kajua kujiongeza hata mie sikumbuki nimeomba lini hela kwa sababu vilivyo vingi naweza jihudumia kwa pesa yangu mwenyewe. Ukiona naomba pesa basi jua nimezidiwa sanaa au naomba kwa ajili ya kumpima mtu imani.
Ahsante sana pacha wangu. Ila nimekumiss mwenzio.Hujawahi niangusha pacha wangu
Nimekumiss pia hny,Jana nlkukumbuka nkasema ntakuchek kazi zikabanaAhsante sana pacha wangu. Ila nimekumiss mwenzio.
Mzima weye?
Nafurahi kusikia hivyo pacha. Ila mie sijambo kabisa namshukuru allah.Nimekumiss pia hny,Jana nlkukumbuka nkasema ntakuchek kazi zikabana
Niko poa sijui ww
Nawe piaNafurahi kusikia hivyo pacha. Ila mie sijambo kabisa namshukuru allah.
Uwe na siku njema pacha. Salimia wote.
Mwanamke, nje ya ndoa, akiwa na tabia ya kumwomba pesa mpenzi wake, huyo siyo mwanamke wa kuolewa.Wakati nimekaa sehemu flani pub kuna wanawake wawili nilikuwa nasikia wakizungumza.
Mmoja akawa anamwambia mwenzake mimi hata niwe shida vipi au tatizo la namna gani hawezi kumuomba pesa mpenzi wake.
...
Je tatizo ni nini mpaka hataki na hawezi kumuomba au anaogopa kumuelezea mwanaume wake shida zake.
I wish nikupateTatizo mmekuwa wagumu sana na mkiombwa hela , basi huwa ni matangazo kwa kwenda mbele na kutupa majina ya ajabu ajabu.
Bora huyo kajua kujiongeza hata mie sikumbuki nimeomba lini hela kwa sababu vilivyo vingi naweza jihudumia kwa pesa yangu mwenyewe. Ukiona naomba pesa basi jua nimezidiwa sanaa au naomba kwa ajili ya kumpima mtu imani.
Una tabia nzuri sana na kama hujaolewa jiandae ndoa inakujia very soon maana mnatafutwa kwa udi na uvumba wanawake kama nyinyi,hata hivyo kuomba omba hela ovyo kunakufanya ujidhalilishe hasa kama wewe mwenyewe una vyanzo vya mapato.Wengi wa wadada akipata mwanaume tu anaona kama kapata mgodi wa dhahabu na wanaume wa miaka hii akishakugundua ndio wa hivyo anafanya yake then anakuzushia sababu anaachana na wewe..Tatizo mmekuwa wagumu sana na mkiombwa hela , basi huwa ni matangazo kwa kwenda mbele na kutupa majina ya ajabu ajabu.