Kwanini baadhi ya wanawake wanaogopa kuwaomba pesa wapenzi wao?

Mapenzi upofu
0a60de8f877014ec376bb5db0984646d.jpg
 
Tukiwaomba ...mnakodi mpaka matarumbeta kututangaza ebu mtuache tupambane na hali zetu eti
 
Tatizo mmekuwa wagumu sana na mkiombwa hela , basi huwa ni matangazo kwa kwenda mbele na kutupa majina ya ajabu ajabu.

Bora huyo kajua kujiongeza hata mie sikumbuki nimeomba lini hela kwa sababu vilivyo vingi naweza jihudumia kwa pesa yangu mwenyewe. Ukiona naomba pesa basi jua nimezidiwa sanaa au naomba kwa ajili ya kumpima mtu imani.
kweli mna tabia mbaya sana wanawake pesa mnaoma na sio za maendeleo na hata mpewe milioni huwa hazionekani zilipo na hakuna mtu msiri kama mwanamke tena kwenye pesa hapana aise sema uzuri sio weto ila wengi wao
 
Wanawake wa sasa mizinga imezudi,kujuana leo tu kesho mizinga inaanza,yaani mpaka kero,ukijaribu kuvumilia ndiyo unaumia zaid,yaani ni hatar,kwa hiyo kama wapo wasiopga mizinga ni wachache sana ila wengi wao wapo Wadada wa mizinga
 
Wakati nimekaa sehemu flani pub kuna wanawake wawili nilikuwa nasikia wakizungumzaa......

Mmoja akawa anamwambia mwenzake Mimi hata niwe shida vipi au tatizo la namna gani hawezi kumuomba pesa mpenzi wake.

Anakwambia ni bora akope pesa kuliko kumuomba pesa mpenzi wake na alikuwa akiongea kwa uchungu akimuelezea mwenzie.

Anakwambia yupo tayali kumuelezea shida zake mtu baki kuliko mpenzi wako.

Je tatizo ni nini mpaka hataki na hawezi kumuomba au anaogopa kumuelezea mwanaume wake shida zakeee
Hivi kwani lazima uombe pesa na msichana..???
 
Tatizo mmekuwa wagumu sana na mkiombwa hela , basi huwa ni matangazo kwa kwenda mbele na kutupa majina ya ajabu ajabu.

Bora huyo kajua kujiongeza hata mie sikumbuki nimeomba lini hela kwa sababu vilivyo vingi naweza jihudumia kwa pesa yangu mwenyewe. Ukiona naomba pesa basi jua nimezidiwa sanaa au naomba kwa ajili ya kumpima mtu imani.
Hivi lazima uombe pesa?? Shule mumekwenda, kazi mnafanya, wazazi mnao, kila kitu mnapcho sasa huo UMATONYA wa nini???

Mimi hakuna kitu kinaniboa kama demu ombaomba, bora aombe mawazo ya kupata pesa au mtaji siyo kuniomba pesa, nikijisikia nitampa ingawa ata mimi naweza muomba km ninashida ila sasa nyie mlishageuza km kanuni mnyuuuxxuuuuhh...! INABOA
 
Umeamua uniseme jf sio eeehhh. Yaani huu ndo ulemavu wangu hafi nimwambie mpenzi 'NAOMBA HELA' sijui nimefikia hatua gani ya shida.

Nikibanwa sana nakopa labda ajiongeze tu.
 
Wakati nimekaa sehemu flani pub kuna wanawake wawili nilikuwa nasikia wakizungumzaa......

Mmoja akawa anamwambia mwenzake Mimi hata niwe shida vipi au tatizo la namna gani hawezi kumuomba pesa mpenzi wake.

Anakwambia ni bora akope pesa kuliko kumuomba pesa mpenzi wake na alikuwa akiongea kwa uchungu akimuelezea mwenzie.

Anakwambia yupo tayali kumuelezea shida zake mtu baki kuliko mpenzi wako.

Je tatizo ni nini mpaka hataki na hawezi kumuomba au anaogopa kumuelezea mwanaume wake shida zakeee
Mimi bana sipendi kuombwa hela napenda aniambie ana shida gani ili nitafute solution..wakt mwingine sio kila kitu soln ni hela.
Pocket money pia sipendi kuombwa najiongeza mwenyewe lkn nakadiria matumizi yake..ykzd kimo namsotesha ili aniombe then napata nafasi ya kumwelimisha.

Na kwa kua sipendi kuombwa hela basi kama hana la kufanya lzm nimwanzishie mradi kwa ubia kwanza mpka aweze ku-endesha na akiweza manake yuko matured enough hata Pass word unampa kwa kua hawezi misuse pesa.
 
Back
Top Bottom