Kwanini baadhi ya wanawake wanaogopa kuwaomba pesa wapenzi wao?

Ukiona mwanamke anashindwa kumuomba pesa mwanaume wake...

Ujue huyo mwanaume akiombwa pesa mapovu yanamtoka... Ndiyo maana wengine wanaona bora wajikalie kimya...

Cc: mahondaw
 
Hilo nalo neno! Usiombe upate mtoto wa mama utajutia mapenzi maana alizoea kila akipata lazima amuonyeshe mama yake sasa kupata mpenzi duu
 
Tatizo mmekuwa wagumu sana na mkiombwa hela , basi huwa ni matangazo kwa kwenda mbele na kutupa majina ya ajabu ajabu.

Bora huyo kajua kujiongeza hata mie sikumbuki nimeomba lini hela kwa sababu vilivyo vingi naweza jihudumia kwa pesa yangu mwenyewe. Ukiona naomba pesa basi jua nimezidiwa sanaa au naomba kwa ajili ya kumpima mtu imani.
yaani mm mwanamke akiniomba hela ndio mahusiano yanisha
 
Tatizo mmekuwa wagumu sana na mkiombwa hela , basi huwa ni matangazo kwa kwenda mbele na kutupa majina ya ajabu ajabu.

Bora huyo kajua kujiongeza hata mie sikumbuki nimeomba lini hela kwa sababu vilivyo vingi naweza jihudumia kwa pesa yangu mwenyewe. Ukiona naomba pesa basi jua nimezidiwa sanaa au naomba kwa ajili ya kumpima mtu imani.
Hujawahi niangusha pacha wangu
 
Wakati nimekaa sehemu flani pub kuna wanawake wawili nilikuwa nasikia wakizungumza.

Mmoja akawa anamwambia mwenzake mimi hata niwe shida vipi au tatizo la namna gani hawezi kumuomba pesa mpenzi wake.
...
Je tatizo ni nini mpaka hataki na hawezi kumuomba au anaogopa kumuelezea mwanaume wake shida zake.
Mwanamke, nje ya ndoa, akiwa na tabia ya kumwomba pesa mpenzi wake, huyo siyo mwanamke wa kuolewa.

Kama mpenzi wake ni mme wa mtu, pesa inakuwa mtaji wake wa kuendesha maisha yake.

Kama mpenzi wake hajaoa, huyo mwanamke anafanya biashara ya ngono.
 
Tatizo mmekuwa wagumu sana na mkiombwa hela , basi huwa ni matangazo kwa kwenda mbele na kutupa majina ya ajabu ajabu.

Bora huyo kajua kujiongeza hata mie sikumbuki nimeomba lini hela kwa sababu vilivyo vingi naweza jihudumia kwa pesa yangu mwenyewe. Ukiona naomba pesa basi jua nimezidiwa sanaa au naomba kwa ajili ya kumpima mtu imani.
I wish nikupate
 
WANAOGOPA KUONEKANA WACHUNAJI NA MAKAHABA, WANAJTAHDI KUFEKI LAKN INAWAUMIZA.

BADO HAWAJAJUA MBNU YA KUPATA HELA YA MWANAUME BILA KUONEKANA MCHUNAJI.

WACHA WAPAMBANE NA HALI ZAO

MWINGNE UNAMTONGOZA LEO, KESHO ANAKUPGA KIZINGA KIREFU.

WENGNE HAIPITI SKU BILA KUOMBA HELA.

BINTI MWOMBA HELA HATA AKILIPWA MILION 6 KWA MWEZ, BADO ATAOMBA TU HATA KM MWANAUME ANAPOKEA LAKI 7

Wapo wachache kama mrembo emmyta Sakayo Miss Natafuta aliyejikatia tamaa n.k.
 
Asilimia 99% ya wadada nlioachana nao shida ni pesaaa...!! Yanii manzi yeye shida haziishi.. ni bora uwe mwanaume suruali maana utakufa maskini... wengine wanaomba hela alafu hataki kutoa papuchi sasa si uchawi huo... Maana usipompa wew atatafuta wa kumpa hapo ndo ataanza dharau so better umuache..

HASA WADADA WENYE CHURAA...WANAPIGAA MAZINGAA HAOO..!! WANAONA MAT*AKO NDO MTAJI SIJUI..
 
Tatizo mmekuwa wagumu sana na mkiombwa hela , basi huwa ni matangazo kwa kwenda mbele na kutupa majina ya ajabu ajabu.

Bora huyo kajua kujiongeza hata mie sikumbuki nimeomba lini hela kwa sababu vilivyo vingi naweza jihudumia kwa pesa yangu mwenyewe. Ukiona naomba pesa basi jua nimezidiwa sanaa au naomba kwa ajili ya kumpima mtu imani.
Una tabia nzuri sana na kama hujaolewa jiandae ndoa inakujia very soon maana mnatafutwa kwa udi na uvumba wanawake kama nyinyi,hata hivyo kuomba omba hela ovyo kunakufanya ujidhalilishe hasa kama wewe mwenyewe una vyanzo vya mapato.Wengi wa wadada akipata mwanaume tu anaona kama kapata mgodi wa dhahabu na wanaume wa miaka hii akishakugundua ndio wa hivyo anafanya yake then anakuzushia sababu anaachana na wewe..
 
Back
Top Bottom