Wana Forum;
Mniwie radhi kwani si kawaida yangu kutembelea jukwaa hili la wapwa na mabinamu lakini leo imenilazimu . . . .
Ashakum si matusi . . . Nikiwa ofisini katika kazi zangu za kawaida kuna dada moja ambaye hupendelea sana kuvaa suruali na zinamkaa vilivyo. Hata hivyo majuzi alivaa sketi ambayo pia ilimkaa vema. Bahati mbaya wakati naingia ofisini na bila kudhamiria nilimwona amekaa mkao ambao "mambo yote yalikuwa hadharani". Naam, kwa hakika hakuwa amevaa chupi. Nilikausha na kujifanya kama vile sijamwona na yeye nadhani alijishtukia hivyo akakaa vema.
Jambo hili lilinifanya nijiulize maswali mengi na hasa ni kwa nini hakuvaa chupi lakini sikupata jibu na hivyo kuamua kulileta hapa jamvini:
Je, kuna baadhi ya Wanawake hawavai chupi? Na kama ni hivyo, ni kwa nini?

usijali ila ningekuwa mm ningekwenda kumwambia ili siku ingine ajifunze halafu uwe
adabu kumuona mtu mmoja usigrupishe wengine kwa ht mama yakko nae havai ihiyo kitu
kuwa na adabu wewe na heshima ni muhimu pia tusingekuwepo sis ungetoka duniani wewe
Duh kunatisha utafikiri motoni mwa milele kwa huyu wa pili
Mungu awasamehe bure imagine sehemu kama hiyo upo na familia au ndugu