GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
Mazoezi zero pia!Matokeo ya ulaji mbovu na kubweteka.
Sio wanajeshi tu. Mwanaume yeyote kuwa na kitambi ni upumbavu na kutokuwa smart.Walengwa hapa ni JWTZ, POLISI, JKT, Magereza na Zimamoto!
Wengi wa askari wenye vitambi ni "mabosi'
Vitambi kwa askari wa vyeo vya juu vina manufaa gani kwao na kwa Taifa?
Wanajua kuwa hivyo vitambi vinatusababisha "sisi" tusio na uzoefu wa masuala ya Kijeshi tuwaone kuwa ni wazembe? Mbona wenzao wa China, North Korea , na Rwanda hawana vitambi?
Wanajua kuwa wao ni mfano wa askari wa chini? Kwa kuwa wanasema "like the son, like the father", watajisikiaje siku moja wakigundua kuwa askari wote wanaowaongoza nao wan vitambi kama wao?
Hivi kukitokea dharura itakayowalazimu kukimbia kwa masaa matatu mfululizo si wanaweza wakahisi ulimi unataka kutoka?
Kwa nini "wanajeshi" wetu, japo siyo wote, wana vitambi?
Bro heshima kitu cha bureSio wanajeshi tu. Mwanaume yeyote kuwa na kitambi ni upumbavu na kugokuwa smart.
Watu smart hawawagi na vitambi
Toa definition ya smart,alafu elezea wapi kitambi kimetajwaSio wanajeshi tu. Mwanaume yeyote kuwa na kitambi ni upumbavu na kugokuwa smart.
Watu smart hawawagi na vitambi
thubutuuuuTena kitambi wkti wa vita ndio kizuri,maana mwili una reserve calories za kutosha.. hata ikitokea mko mafichoni, mwenzako ata-survive wiki mbili zaidi bila chakula
hapana kitambi ni kuridhikaKitambi in maumbile
Mwanajeshi asiye na kitambi kuwa naye makini sana, hao mara nyingi huwa masnitch, hawakubali kupindisha sheria, hawakubali rushwaWalengwa hapa ni JWTZ, POLISI, JKT, Magereza na Zimamoto!
Wengi wa askari wenye vitambi ni "mabosi'
Vitambi kwa askari wa vyeo vya juu vina manufaa gani kwao na kwa Taifa?
Wanajua kuwa hivyo vitambi vinatusababisha "sisi" tusio na uzoefu wa masuala ya Kijeshi tuwaone kuwa ni wazembe? Mbona wenzao wa China, North Korea , na Rwanda hawana vitambi?
Wanajua kuwa wao ni mfano wa askari wa chini? Kwa kuwa wanasema "like the son, like the father", watajisikiaje siku moja wakigundua kuwa askari wote wanaowaongoza nao wan vitambi kama wao?
Hivi kukitokea dharura itakayowalazimu kukimbia kwa masaa matatu mfululizo si wanaweza wakahisi ulimi unataka kutoka?
Kwa nini "wanajeshi" wetu, japo siyo wote, wana vitambi?
Ndio kubweteka kwenyewe huko.Mazoezi zero pia!
Wewe una maoni gani mkuu?Au sio
ππππππNi sehemu za mbinu za kivita
ππππππNi sehemu za mbinu za kivita
Walengwa hapa ni JWTZ, POLISI, JKT, Magereza na Zimamoto!