kwanini baadhi ya wafanya biashara za madini wasisaidie jamii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwanini baadhi ya wafanya biashara za madini wasisaidie jamii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by XINGLUX, Apr 4, 2008.

 1. X

  XINGLUX Member

  #1
  Apr 4, 2008
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  utakuta baadhi ya wafanya biashara za madini wanawapatia vijana wetu fedha za kujikimu na kuishia kuwapa offer za pombe badaala ya kuwasaidia ili waweze kutimiza malengo
  Na wengine kufanya biashara zao bila hata kusaidia jamii utakuta mtu anafanya biashara katika kijiji flani lakini faida anayopata anashindwa hata kuwapa asilimia fulani ya faida yake kusaidia jamii katika afya, elimu mfano kuchangia katika ujenzi wa vyumba vya madarasa na sekta nyingine hivyo naomba wajaribu kufikiria kwani bila jamii kuwakubali kuishi nao wasingepata kitu ila wanaamua kuwajali zaidi wale walio watunza pekee kwa kuwapatia mafungu fulani ya fedha na vitu vya muhimu na kuacha wale wasiokuwa na nafasi kubakia masikini kama walivyo wanashindwa hata kuwaachia urithi wa elimu kusema kwamba watawakumbuka kwa wema walioufanya
  madini yetu wachukue na ujinga watuachie haiwezekani hata siku moja.
   
Loading...