kwanini baadhi ya wafanya biashara za madini wasisaidie jamii

XINGLUX

Member
Mar 31, 2008
17
1
utakuta baadhi ya wafanya biashara za madini wanawapatia vijana wetu fedha za kujikimu na kuishia kuwapa offer za pombe badaala ya kuwasaidia ili waweze kutimiza malengo
Na wengine kufanya biashara zao bila hata kusaidia jamii utakuta mtu anafanya biashara katika kijiji flani lakini faida anayopata anashindwa hata kuwapa asilimia fulani ya faida yake kusaidia jamii katika afya, elimu mfano kuchangia katika ujenzi wa vyumba vya madarasa na sekta nyingine hivyo naomba wajaribu kufikiria kwani bila jamii kuwakubali kuishi nao wasingepata kitu ila wanaamua kuwajali zaidi wale walio watunza pekee kwa kuwapatia mafungu fulani ya fedha na vitu vya muhimu na kuacha wale wasiokuwa na nafasi kubakia masikini kama walivyo wanashindwa hata kuwaachia urithi wa elimu kusema kwamba watawakumbuka kwa wema walioufanya
madini yetu wachukue na ujinga watuachie haiwezekani hata siku moja.
 
Back
Top Bottom