Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,743
- 1,735
- Thread starter
-
- #21
ukishazaa tumbo linastrech ni wachache wanarudia maumbo yao ya awali,vyakula vinachangaia pia...ila ukisema zamani ilikuwa tofauti hatukuelewi,ulikuwepo hio zamani?
Na Nguo Za Kubana
Hivi ukivaa nguo ya kubana inafanya uwe na tumbo eeeeh!!!
We Hupendi, Wengne Waenjoy Mi Utam Ya Vtambi
Ni Raha, Nyama Znapepesa Pepesa Kama Masikio Ya Tembo
Nimekuwa nikiwachunguza sana madada wa siku hizi lakini sababu sikuweza kuifahamu haraka maana hata kama nipo na mpenzi wangu huwa sipendi kumuuliza jambo hili. Siku hizi wadada wengi wanakuwa na kitambi kidogo chini ya kitovu ukilinganisha na zamani. Mdada tu akipevuka utakuta anakuwa na kakitambi fulani chini ya kitovu. Nilijaribu kutoa majibu ya haraka labda yaweza kuwa ni sababu ya kutoa mimba, kuwa na mahusiano na wanaume wengi, matumizi ya madawa ya kutengeneza umbo nk. Naomba uongezee nk au kama siko sahihi nikosoe. Samahani matusi sipendi mimi ni mstarabu sana nahisi kama ulivyo wewe
Hivi ukivaa nguo ya kubana inafanya uwe na tumbo eeeeh!!!
Mbona akina beyonce na mama zetu hawana vitambi? Mimi ni wa 1988 mkuu, i am a bit awaresome
Tafiti kama hizi muhusishe Dr. SUPU YA MAWE (Phd Holder)
Hivi ukivaa nguo ya kubana inafanya uwe na tumbo eeeeh!!!
Una kitambi?
Ndio nguo inakuwa na physical impact kwa sababu ya ina press nyama za mapaja zinapanda juu
ni vyakula vya sasa na machips ndio maana hata magonjwa yamekua mengi kuliko zamani.
Moja Wapo Ya Sababu Ya Kuzuia Mafuta Kusambaa, Ambapo Mwanamke Mafuta Hukaa Kwenye Hps Na Mwanaume N Ktamb, Ukibana Hayashuk. Cko Vzuri Sana Lakin Ndo Hvo
Tena ukiniona unaweza sema nina mimba ya mapacha kumbe ni kitambi changu tu
Mmmhhh, big up kwa ku_compete na wakaka Honey Faith
Sasa nyama za mapaja zikipanda zinafika hadi tumboni??
Tena ukiniona unaweza sema nina mimba ya mapacha kumbe ni kitambi changu tu