Kwanini baada ya kufika mshindo sitaki awe karibu yangu?

AskariKanzu

Member
Joined
Jul 25, 2025
Posts
38
Reaction score
146
Nilihisi labda huyu tu ila baada ya kuwa na mahusiano kadhaa nakuwa na mapenzi na kumuhusudu mpenzi wangu na kutamani kila muda niwe karibu nae, ila tukishavunja amri ya sita tu mambo yanakuwa tofauti.

Ata awe mrembo vipi mara baada tu ya tendo sitaki kumuona tena.
 
Hiyo ni Moja wapo ya aina ya upungufu wa nguvu za kiume. Hivyo... The way you change the way you busti
 
Kama unawafukuza wanawake basi inatakiwa wanaume wenzio ukienda geto kwao usifukuzwe mpaka kukuche.
 
Nilihisi labda huyu tu ila baada ya kuwa na mahusiano kadhaa nakuwa na mapenzi na kumuhusudu mpenzi wangu na kutamani kila muda niwe karibu nae, ila tukishavunja amri ya sita tu mambo yanakuwa tofauti.

Ata awe mrembo vipi mara baada tu ya tendo sitaki kumuona tena.
Hiyo ni dalili kuwe wewe umeathirika na kujichua kwa muda mrefu, badili mtindo wako wa maisha
 
Unatatizo na wanawake nenda kawaone wataalamu wa therapy wakupe muongozo na ushauri wa kitaalamu.

Unaonekana haupo tayari kwa mahusiano ya muda mrefu unatafuta sex tu.
 
Back
Top Bottom