Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 8,914
- 14,772
Madhara ya kujichukulia sheria mkononi hayo
Au sio unatuletea mapicha pichaNilihisi labda huyu tu ila baada ya kuwa na mahusiano kadhaa nakuwa na mapenzi na kumuhusudu mpenzi wangu na kutamani kila muda niwe karibu nae, ila tukishavunja amri ya sita tu mambo yanakuwa tofauti.
Ata awe mrembo vipi mara baada tu ya tendo sitaki kumuona tena.
Askari kanzu akishachukua mlungula hatakiwi kukaa karibu na mtuhumiwa.Hii ni kwa sababu za kiuweledi.Nilihisi labda huyu tu ila baada ya kuwa na mahusiano kadhaa nakuwa na mapenzi na kumuhusudu mpenzi wangu na kutamani kila muda niwe karibu nae, ila tukishavunja amri ya sita tu mambo yanakuwa tofauti.
Ata awe mrembo vipi mara baada tu ya tendo sitaki kumuona tena.