Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,782
- 20,060
- Thread starter
- #21
Matamanio tu dada/kaka angu.... Katika hili wanaume wengi ni wahanga... Ushauri mkubwa naohitaji kwa nini sasa ... !!??kwa nini hakuniambia tangu mimba changa....!!??Wee nzi mtoto vipi, ulivokua unapanda mbegu ulihisi imeangukia kwenye mchanga hivo haitomea eeh, hongera ulipanda kwenye rutuba.mavuno hayoo
Sent using Jamii Forums mobile app