Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
Hii nayo mpya... sijawahi sikia hii....
weka picha au link to prove habari yako!
Alipita karibu au aliingia kufanya ibada?
Yaani ma ccm hayanaga hoja kabisa.
Samahani mkuu tuko pamoja.lakini swala la papa hata wewe unaweza halikwa na mwislam kwake.Mkuu mimi na ukoo wangu wote ni ANT CCM tena kwetu kuna bendera na baba mzazi ndio mwenyekiti wa chama flani pinzani mkoa wa DAR.
sheikh naye ruksa kuingiaa kanisani mbona.....wenyewe tu wana gwaya
Samahani mkuu tuko pamoja.lakini swala la papa hata wewe unaweza halikwa na mwislam kwake.
Tofautisha msikiti na Synagogue.Papa hakuingia msikitini
mmmh mbona msikitini kuingia hamna kizuizi aisee kila mtu anaweza ingia tu msikitini aisee