Smiling killer
JF-Expert Member
- May 1, 2018
- 1,291
- 1,121
Na malengo yao ni kukupa mikopo ya kujengea stiglazi goji, reli, barabara pamoja na kukuletea maji kijijini kwenu bila kusahau kukuletea msaada wa kondom uliyotumia jana na kimada wako.Hizo ni redio za mabeberu zipo kwaajili ya kutekeleza malengo yao kwenye ukanda wa maziwa makuu
Na malengo yao ni kukupa mikopo ya kujengea stiglazi goji, reli, barabara pamoja na kukuletea maji kijijini kwenu bila kusahau kukuletea msaada wa kondom uliyotumia jana na kimada wako.
Kama ilivyo akili yako.Hewa
Kenya hawaongei kiswahili!?Hizo idhaa ni za Kiswahili, kwa kuwa Wazungumzaji wengi wa Kiswahili wapo Tz hivyo wasikilizaji na wachangiaji wengi pia watatoka Tz
Wanaongea ila sio kama TZ, mara nyingi tv zao zinatangaza kwa Kiingereza kuliko Kiswahili, Bunge la Kenya linaendeshwa kwa Kiingereza, shughuli za kitaifa kama uhuru, kuapisha Rais zinaendeshwa kwa KiingerezaKenya hawaongei kiswahili!?
Nyani haonagi ku..uleHivi kwa nini wachangiaji wa hoja mbalimbali katika idhaa za kiswahili za wazungu kama vile bbc,dw n.k asilimia karibu mia ni watanzania na wanakua busy sana kuchangia kuhusu mambo ya nchi za watu na hata kama kuna habari kubwa kuhusu tanzania inayohitaji uchangiaji wa hoja wenyewe watakazania kuchangia kuhusu congo,sudan uingereza n.k
komenti zenye taswila ya namna hii uwa zinanivuruga sana.Hizo ni redio za mabeberu zipo kwaajili ya kutekeleza malengo yao kwenye ukanda wa maziwa makuu
Wewe utakuwa unasikiliza bbc swahili. Jaribu kusikiliza idhaa ya kiingereza ama kifaransa ndio utajua watanzania wanatumia nusu saa tu kuchangia.Hivi kwa nini wachangiaji wa hoja mbalimbali katika idhaa za kiswahili za wazungu kama vile bbc,dw n.k asilimia karibu mia ni watanzania na wanakua busy sana kuchangia kuhusu mambo ya nchi za watu na hata kama kuna habari kubwa kuhusu tanzania inayohitaji uchangiaji wa hoja wenyewe watakazania kuchangia kuhusu congo,sudan uingereza n.k
Kiswahili ni lugha kuu east Africa and central hata Kenya licha ya kutumia kiingereza kwa shughuli hiyo lakini kiswahili ndo lugha inayoongewa zaidi Kenya!.kwani studio za BBC Swahili zipo wapi!?Wanaongea ila sio kama TZ, mara nyingi tv zao zinatangaza kwa Kiingereza kuliko Kiswahili, Bunge la Kenya linaendeshwa kwa Kiingereza, shughuli za kitaifa kama uhuru, kuapisha Rais zinaendeshwa kwa Kiingereza