Kwanini asilimia kubwa ya wanaochangia BBC Swahili ni Watanzania na wanakua busy sana kuchangia?

Smiling killer

JF-Expert Member
May 1, 2018
1,291
1,119
Hivi kwa nini wachangiaji wa hoja mbalimbali katika idhaa za kiswahili za wazungu kama vile bbc,dw n.k asilimia karibu mia ni watanzania na wanakua busy sana kuchangia kuhusu mambo ya nchi za watu na hata kama kuna habari kubwa kuhusu tanzania inayohitaji uchangiaji wa hoja wenyewe watakazania kuchangia kuhusu congo,sudan uingereza n.k
 
Hizo ni redio za mabeberu zipo kwaajili ya kutekeleza malengo yao kwenye ukanda wa maziwa makuu
Na malengo yao ni kukupa mikopo ya kujengea stiglazi goji, reli, barabara pamoja na kukuletea maji kijijini kwenu bila kusahau kukuletea msaada wa kondom uliyotumia jana na kimada wako.
 
Hivi kwa nini wachangiaji wa hoja mbalimbali katika idhaa za kiswahili za wazungu kama vile bbc,dw n.k asilimia karibu mia ni watanzania na wanakua busy sana kuchangia kuhusu mambo ya nchi za watu na hata kama kuna habari kubwa kuhusu tanzania inayohitaji uchangiaji wa hoja wenyewe watakazania kuchangia kuhusu congo,sudan uingereza n.k
Nyani haonagi ku..ule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa nini wachangiaji wa hoja mbalimbali katika idhaa za kiswahili za wazungu kama vile bbc,dw n.k asilimia karibu mia ni watanzania na wanakua busy sana kuchangia kuhusu mambo ya nchi za watu na hata kama kuna habari kubwa kuhusu tanzania inayohitaji uchangiaji wa hoja wenyewe watakazania kuchangia kuhusu congo,sudan uingereza n.k
Wewe utakuwa unasikiliza bbc swahili. Jaribu kusikiliza idhaa ya kiingereza ama kifaransa ndio utajua watanzania wanatumia nusu saa tu kuchangia.
 
Wanaongea ila sio kama TZ, mara nyingi tv zao zinatangaza kwa Kiingereza kuliko Kiswahili, Bunge la Kenya linaendeshwa kwa Kiingereza, shughuli za kitaifa kama uhuru, kuapisha Rais zinaendeshwa kwa Kiingereza
Kiswahili ni lugha kuu east Africa and central hata Kenya licha ya kutumia kiingereza kwa shughuli hiyo lakini kiswahili ndo lugha inayoongewa zaidi Kenya!.kwani studio za BBC Swahili zipo wapi!?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom