Kwanini anarudi nyuma? Why men pull away in relationship

Kwanini anarudi nyuma? Why men pull away in relationship

client3

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2007
Posts
2,331
Reaction score
3,196
Mpenzi mwana MMU mwanamme! kwa wale wenye wapenzi tu, ni nini kilikufanya kwa nyakati fulani fulani uka “ pull away”( sijui Kiswahili chake)

Kwa wanaojua tu maana yake lakini, maana humu kuna watu wanalazimishia kitu hata kama hakijui.

Yaani inakuaje unajikuta ile shauku inakata ghafla ya kuendelea na mahusiano ambayo awali uliyafurahia sana??
 
Unakuta vizinga vingiiiii au anataka kuolewa mapema na wewe hujajipanga. Kuna mdada niliachana nae baada ya kunambia yeye anataka nimuoe after 4 yrs,wakati Mimi after hiyo miaka nitakuwa nakaribia age ya Z. Z. K.
Bora huyo wa kwako.
Wa kwangu wiki ya kwanza kwenye mahusiano anataka kwenda kutoa ushuhuda kanisan eti kapata mume bora. Nilimuacha kwa kasi ya 4G. She was more than just a perfect, tatzo ni kiherehere cha ndoa.
 
Pull away (kujitoa kutoka mahali/sehemu)

Sababu zinaweza kuwa nyingi sana. Hivyo inategemeana na mtu na mtu. Mfano mimi nikagundua kuwa unani cheat nita "pull away". Au mfano mtu ameanza dharau tu ghafla humwelewi. Nakuacha kabla hujaniacha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom