Kwanini amtongoze rafiki yangu

Tumekusamehe
 
1. Muombe Mungu akusaidie nalo litapita
2. Mchunguze shoga yako nikweli aliyokuambia kweli mme wako amefanya au shoga yako anataka kuaribu ndoa yako...mashoga wakati mwingine anatengeneza habari tu..duniani rafiki wa kweli ni Mungu wako.
3. Km unampenda mme wako jaribu kusolve mbn issue ndogo hiyo labda km ni kweli ni shetani na umuombee na aombe msamaha km kweli katenda.
4. Uenda umufanyii mambo mazuri chumbani anatamani kutoka nje, au ni tamaa zake binafsi kaa naye bila.kumuonea aibu mueleze ulichosikia km ni kweli...km kuna conservation walikuwa wanachart fuatilia upate uhakika ni suala la uchunguzi upate uhakika usimuhukumu kabla ujapata ukweli.
 
Hili nalo tatizo, ukipata ushahidi, piga chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…