Kwanini amtongoze rafiki yangu

Uhakika Gani tena unautafuta?
Au nirudie swali...
Ni kipi kitakupa uhakika kuwa kweli hakufai?
 
Hapa maana yake unataka upate mwanaume humu ndani. Yaani umeandika sifa zako kidizaini. Anyway huenda ukaokotwa. Maana sijaona sababu ya kuleta taarifa humu... Sisi wengi wajanja hutupati kwa style hii ....
 
ndomana nipo kusoma comments rafiki yangu, maana nyuzi zake huyu mtu.....au basi πŸ˜„πŸ˜„πŸ™Œ
Unajua kuna namna mtu ukisoma comments au nyuzi zake unajua yes yupo upande wetu kuna mwingine yaani unajua tu huyu bana πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈ
 
Mwambie utamkomoa Kwa kuchepuka na wanaJF .
 
Unajua kuna namna mtu ukisoma comments au nyuzi zake unajua yes yupo upande wetu kuna mwingine yaani unajua tu huyu bana πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈ
niliachaga kucomment nyuzi zake mda, sikuizi napita kimyakimya maana kuna wakati mtu unaweza ukaongea kitu halafu ukachafua hali ya hewa inakua haipendezi😊🀭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…