Kwanini amtongoze rafiki yangu

Huwezi kula mchicha Kila siku
 
Kama Huyo mwanaume wako amefikia hatua ya kupiga nyeto wakati Ana mtu wake ambaye Ni wewe,Basi jua wewe ndo tatizo,,,inaonekana huwa humhudumii mwanaume wako ipasavyo ndo maana kaamua kwenda kumtongoza shogako.

Mkalishe chini vizuri ukueleze kila kitu ndo ujue Cha kufanya vinginevyo naona akihamia mazima kwa Pamela.
 
Ila na wewe una tu mikasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…