plan z
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 1,395
- 1,439
Hi Guys!
Wengi tunamfahamu Albert Einstein kwamba alikuwa scientist na hakuishia kuwa scientist tu pia alikuwa ni genius na smart sana. Alifanya mambo makubwa katika field yake na aligundua formula ambazo zimekuwa msaada sana katika sayansi. Mfano ile formula ya E=mc² mpaka leo hakuna derivation yake lakini inatumika na ni msaada sana kwenye tasinia ya sayansi, Einstein hakutoa derivation ya hiyo formula hivyo inatumika kibishi hivyohivyo na inaleta matokeo.
Mnamo April 17, 1955; Albert Einstein alipata tatizo la kuvuja damu ndani kwa ndani linalosababishwa na rapture kwenye ateri yake. Madaktari walipouchunguza mwili wake walisema upasuaji pekee(surgery) ndio unaoweza kuokoa maisha yake.
Lakini Albert Einstein alikataa kufanyiwa upasuaji. Einstein alisema " It is tasteless to prolong life artificially, i have done my share it's time to go". Akiwa na maana kwamba haina maana kulazimisha maisha, wakati wake umefika wa kuondoka.
Kabla ya Einstein kufariki alisisitiza wasifanye uchuguzi wowote kwenye mwili wake. Einstein aliogopa wasije wakamchunguza wakauchukua ubongo wake.
Kesho yake Einstein alifariki hospitalini, ilikuwa ni tarehe 18, April 1955. Thomas Harvey, a pathologyst alipewa kuuangalia mwili wa Einstein.
Lakini Harvey aliuiba ubongo wa Einstein kwa siri na kutoweka nao. Harvey aliufanyia uchunguzi kwa muda wa miaka 40 mizima na baadae aliamua kufichua siri kwamba yeye ndiye aliyeuiba na aliwakabidhi wanasayansi ubongo huo.
Wanasayansi walipouchunguza ubongo wa Einstein walishtushwa na ubongo wake ulivyo. Ubongo wa Einstein ulikuwa na 17% more neurons, ukilinganisha na mtu wa kawaida, na hii imesababisha synapses kuwa fired kwenye ubongo wa Einstein, hii ilikuwa inaupa ubongo wake nguvu zaidi.
Wanasayansi walipouchunguza zaidi ubongo wa Einstein waligundua ubongo wake ulimiss wrinkle inayoitwa Parietal Operculum. Hii ilisababisha ukubwa wa Parietal Lobe uongezeke kwa 20% ukilinganisha na mtu wa kawaida. Hili eneo linahusika na Math skills na Mental images. Hii ilimwongezea uwezo wa kufikiri.
Historia ya Albert Einstein ni ndefu na alifanya mambo mengi makubwa na ya kushangaza. Leo tumeangalia tu sababu ambazo huenda zilimfanya Albert Einstein awe genius na smart.
View attachment:
Sent using Jamii Forums mobile app