[emoji38],Poa nimekuelewa ngoja nikikwama nitakupigia ukiona namba namba inaishia na 00 pokeasijui computer vizuri ila Kama ni window 10 bonyeza start (window panel) utaona nukta tatu juu ukizi open angalia chini utaona settings fungua hiyo then nenda sehemu wameandika time and language then choose region & language hapo sasa weka English (United states) hiyo ndo itakaa sawa kwa hizi keyboards zetu.
ukikwama waambie mods wakupe namba yangu unipigie.
Unaweza kuwa na jibu lakini sijakuelewa hasa nini unakusudia kusema,
Kwanini vitufe vyevye alama husika vikibonyezwa hutoa alama tofauti na iliyokusudiwa?anayechanganya keybord layout ni nani sasa?
OS nyingi mda wa installation huwa wanakuuliza uchague aina ya layout Sasa sema sisi Watanzania wengi huwa hatupendi kusoma badala yake unaipa tuu next mwisho wa siku ndio yanakuwa hayo.Nimeanza kuelewa,sasa Keybord layout ya Tanzania ni ipi? na kwanini wanaoleta huku wasibadili kabisa.
Mbona kwenye simu hilo tatizo halipo?
OkKwanza kwenye kuinstall OS huwa kunakuwa na Option ya kuchagua Layout ya Keyboard.
I think hapa ndio wengi wanamess up.
Kwa OS kama Linux unapoinstall huwa inakuwa ni rahisi kuselect layout sahihi kwa sababu huwa kuna maswali wanakuuliza ambayo yatapelekea uchague Layout ambayo ni sahihi.
Hiki kitu kwenye OS za windows sijakiona.
Tatizo linaanzia kwenye keyboard language, ukiset UK utapata alama zote lakini zikiwa tofauti na ziada utapata alama ya #. Ukiset US utapata alama zote kulingana na zilivyopangwa ila hakuna alama ya #.Heri ya mwaka mpya wakuu,
Kuna tatizo nimekuwa nikikumbana nalo katika kutumia computer(Desktop au laptops).
Ni kwamba kuna alama ukitaka kuitumia unaiona imeandikwa kwenye kitufe Fulani lakini ulibonyeza unakutana na alama tofauti na uliyokusudia mfano.
Mara nyinyi alama ya @ huwa inaonekana kwenye button za mstari wa pili kutoka juu kwenye mstari wa namba,mara nyingi huwa kwenye button namba 2 lakini computer nyingi nilizowahi kutumia ukibonyeza hio button hupati hio alama,utaikuta kwenye vialama vingine katikati huko kama vya semicolon [;] au [??] ,ni alama nyingi tu huchanganywa,wakati mwingine alama # na zinginezo kutegemea na Keyboard husika.
Sasa nauliza kuna sababu yoyote ya msingi kwanini alama hizi huchanganywa au ni uzembe wa watengenezaji tu? na kwanini hawarekebishi?
Je Computer unayotumia ina tatizo hili?View attachment 2073234