Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,126
- 35,513
Heri ya mwaka mpya wakuu,
Kuna tatizo nimekuwa nikikumbana nalo katika kutumia computer(Desktop au laptops).
Ni kwamba kuna alama ukitaka kuitumia unaiona imeandikwa kwenye kitufe Fulani lakini ulibonyeza unakutana na alama tofauti na uliyokusudia mfano.
Mara nyinyi alama ya @ huwa inaonekana kwenye button za mstari wa pili kutoka juu kwenye mstari wa namba,mara nyingi huwa kwenye button namba 2 lakini computer nyingi nilizowahi kutumia ukibonyeza hio button hupati hio alama,utaikuta kwenye vialama vingine katikati huko kama vya semicolon [;] au [??] ,ni alama nyingi tu huchanganywa,wakati mwingine alama # na zinginezo kutegemea na Keyboard husika.
Sasa nauliza kuna sababu yoyote ya msingi kwanini alama hizi huchanganywa au ni uzembe wa watengenezaji tu? na kwanini hawarekebishi?
Je Computer unayotumia ina tatizo hili?