Habari za chini ya kapeti!kutoka kwenye chumba cha Mh Mulugo! Zinadai kuwa wizara yake haikubakiza hata chenji! Na hizo pesa serikali ilikuwa imekopa NSSF,, mwaka huu wameenda tena NSSF,kukopa tena wakaambiwa pesa zote tumepeleka KIGAMBONI KUJENGA DARAJA! Ila msiwe na wasi Mkulu leo yuko Kwa Hollande!na kapu lake na asipopata anapita pale kisima cha pesa Chafu (USWIS)Ili awatolee fungu lake kidogo!MSKATE TAMAA SOON MTAKUWA Hewani!
Serikali haina pesa za kuajiri kwa sasa ndio maana imekaa kimya ikumbukwe naibu waziri elimu yake ni la saba D hana uchungu na elimu yetu kazi kushinda media kupiga porojo.
Watu wasio wadau wa elimu wanapotosha yaliyopaswa kusemwa kwenye jukwaa la elimu.Kuna majukwaa ya mapenzi ,vichekesho na kejeli nendeni huko panawafaa zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.