IMANI MWANUKE
New Member
- Jan 15, 2013
- 2
- 1
nashindwa kujua tatizo linalokwamisha kutangaza ajira za walimu, kama bajeti ilikwisha kupangwa, nini tatizo?
Siwamezoea kukopa, kwa nini wasikope ili waajiri walimu?Serikali haina pesa.