Kitwa-Mulomoni
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 1,778
- 1,119
Ulianza vizuri, lakini ukaharibu mwisho na siasa za upinzani! Kilimo kwanza na Tanzania ya viwanda zote sera za CCM. Au ulikuwa hujui?Agriculture is a proven engine for poverty reduction. GDP growth generated by agriculture is more effective in reducing poverty than growth in any other sector. In sub-Saharan Africa, growth in agriculture .reduces poverty up to 11 times faster than growth in other sectors...Kilimo Kwanza ingetutoa..mnakuja na Tanzania ya viwanda..Vijana adui yenu CCM hawataki Vijana matajiri..
We ndo mbuziiiiiiiiiiii!?Kwani ukiwa na degree lazima upewe ajira? Acheni ujinga ninyi wasomi, ajira za kupewa hakuna duniani kote. Nendeni mashambani mkajiajiri kwa kulima.
Mpaka Leo vijana wengi wako mitaani na degree zao ,hakuna ajira waalimu hawapandishwi madaraja,
Vijana wa kitanzania leo hii wanaenda jkt kufundishwa ukakamavu..s kwel watu wanaenda kutafuta ajira bt wanakalishwa miaka halafu leo hii wanarudishwa mitaan je wafanye nini huku au mnataka watukabe
Wahitimu wa chuo leo hii hawana thaman..wimbi kuubwa la waalimu wa michepuo ya sanaa hawapew ajira na hata zkitangazwa sijui wanapewa akina nani
Ndugu zangu am not happy cuz ama victim of this chain..
Wazo zurinatamani kuona mkutano wa Rais na wasio na ajira, kama alivyofanya na wafanyabiashara
Daaah wazee punguzeni hasira aseeh... tuendeleeni tu kutandika mtori nyama tutazikuta tu chini... ila hali ni mbaya sana yaani..
Sasa kama awamu hii ilivyogota na kushindwa kutengeneza ajira, wasomi waendelee kukaa tu mpaka awamu nyingine? Tanzania ardhi yenye rutuba tunayo tele kwann wasijiajiri
Unafahamu ajira ambazo lazima izitoeKwani ukiwa na degree lazima upewe ajira? Acheni ujinga ninyi wasomi, ajira za kupewa hakuna duniani kote. Nendeni mashambani mkajiajiri kwa kulima.
Sasa iweje wawachukue vijana na kuwapelekesha huko kwenye kambi zao kama hawaajir hao vikos vingine vinatoa wapi watu cuz kila askar yeyote lazma apitie jkt au unataka kunambia jeshi LA kujenga taifa jkt limekufwaa....achen ujinga swala la ajira kwann lisiulizwe au lisjadiliwe kwenye awamu hiii? Halafu mkiulizwa mnakimbilia kujiajirTatizo vijana wengi wanaomaliza hawawazi nje box, kazi wanataka za ofisini kisa mtu ana degree... Chengine JKT hai ajiri wanasisitiza kila siku wale jamaa wa JWTZ kwenye Media....... Cjui tunafeli wapi kutafuta uelewa wa mambo
Nimekusoma mkuuTatizo la Ajira nchini Tanzania ni Mtambuka sana Mkuu ambapo Wazazi wana lawama zao, Shule na Taasisi za Elimu zina lawama zao, Serikali kupitia Wizara husika na Waziri husika wana lawama zao na Wanafunzi wenyewe nao wana lawama zao vile vile na tena huenda Wanafunzi ndiyo wakabeba lawama nyingi katika hawa Wahusika wote hapa.
Wazazi wengi wanawalazimisha Watoto Wao Kuchukua Kozi wasizoziweza hatimaye wanakwamisha Ndoto zao Kitaaluma.
Shule na Taasisi za Elimu nchini haziwaandai Wanafunzi kuja Kujiajiri wenyewe na Kutengeneza Mitaala ambavyo itakuwa inaakisi Soko la Ajira kwa sasa duniani na badala yake Elimu ya Tanzania bado imekuwa ni ile ile aliyotuachia Mkoloni.
Serikali na Wizara husika hazijatambua kuwa dawa pekee ya Kumaliza hili tatizo ni Kwanza kubadili Sera zake hasa katika Mashirika na Makampuni huku zikiwataka Taasisi za Kbenki nchini kuwa wanatoa Mikopo ya Riba nafuu kwa Vikundi mbalimbali vya Wahitimu ili wakimaliza tu Masomo yao wawaze Kujiajiri na siyo Kuzunguka hovyo Mitaani na Bahasha za Kaki pekee. Kipengele cha Uzoefu kiondolewe kwani Mtu Uzoefu haupatii akiwa Jobless bali akiwa Kazini kutoka kwa Wakongwe aliowakuta na ambao wanatarajia Kustaafu.
Wanafunzi wengi wa sasa wa Tanzania hawajui wanataka nini, hawajitambui kabisa na wengi Wao wanasoma kwa Mkumbo na siyo Kusoma ili waje kuwa Tegemeo. Kama Mwanafunzi wa Kidato cha Nne au Sita unamuuliza anataka kuja nani baadae anakujibu hajui au anakutaka Wewe uliyemuuliza hilo Swali umtathmini alivyo kisha umfanyie Kazi ya Marehemu Sheikh Yahya umtabirie asomee nini hapo hakuna tatizo? Wanafunzi wengi ni Wavivu na hawapendi Kujiimarisha Kimaarifa ili waje kuwa Wanataaluma wazuri kwa baadae.
Yangu ni haya tu Mkuu.
Mapambano ni magumu kuliko vita!
natamani kuona mkutano wa Rais na wasio na ajira, kama alivyofanya na wafanyabiashara
Mbaya zaidi wapo wajinga wanasema huyu jamaa kafanya mambo makubwa sana ndani ya muda mfupi!
Hakuna hela za kulipa mishahara, Waajiri wengi wanataka kupunguza gharama za uendeshaji. POLE SANA
Kuna mbwa wachache wanao kula na kusaza kwa kutumia kodi zetu. Hawa wanaona ukosefu waajira kama ni tatizo la kujitakia.Wataanza kukuambia habari za ukalime ili kujiaajiri na wanaongea hivyo wakati wao hawana hata bustani.Wanasahau hata nchi zilizoendelea kama Marekani,France,Britain nk zinatoa mafunzo ya kujiajiri kwa vijana wao wanapokua masomoni lakini hiyo haitoshi pia wale vijana wanapomaliza masomo husidiwa ajira au fedha za mitaji ili kujiajiri; kumbukeni tatizo la ajira lilivyo kiua wakati Barrack Obama anaingia madarakani mliona jinsi alivyo toa ajira nyingi badala ya kutoa kejeli kwamba wakalime.sio jambo la maana sana nchi kusomesha watubwake wengi kisha iwaambie wakalime, hivyo tunajitengenezea bomu litakalolipuka siku za baadae
Kwani ukiwa na degree lazima upewe ajira? Acheni ujinga ninyi wasomi, ajira za kupewa hakuna duniani kote. Nendeni mashambani mkajiajiri kwa kulima.
Kuna mbwa wachache wanao kula na kusaza kwa kutumia kodi zetu. Hawa wanaona ukosefu waajira kama ni tatizo la kujitakia.Wataanza kukuambia habari za ukalime ili kujiaajiri na wanaongea hivyo wakati wao hawana hata bustani.Wanasahau hata nchi zilizoendelea kama Marekani,France,Britain nk zinatoa mafunzo ya kujiajiri kwa vijana wao wanapokua masomoni lakini hiyo haitoshi pia wale vijana wanapomaliza masomo husidiwa ajira au fedha za mitaji ili kujiajiri; kumbukeni tatizo la ajira lilivyo kiua wakati Barrack Obama anaingia madarakani mliona jinsi alivyo toa ajira nyingi badala ya kutoa kejeli kwamba wakalime.sio jambo la maana sana nchi kusomesha watubwake wengi kisha iwaambie wakalime, hivyo tunajitengenezea bomu litakalolipuka siku za baadae
soma kuajiriwa kupo tuMpaka Leo vijana wengi wako mitaani na degree zao ,hakuna ajira waalimu hawapandishwi madaraja,
Vijana wa kitanzania leo hii wanaenda jkt kufundishwa ukakamavu..s kwel watu wanaenda kutafuta ajira bt wanakalishwa miaka halafu leo hii wanarudishwa mitaan je wafanye nini huku au mnataka watukabe
Wahitimu wa chuo leo hii hawana thaman..wimbi kuubwa la waalimu wa michepuo ya sanaa hawapew ajira na hata zkitangazwa sijui wanapewa akina nani
Ndugu zangu am not happy cuz ama victim of this chain..
Hilo unatutukana sisi wakulima, ondoa kauri yako. Tunawalipa mishahara mtunge sera, je mliweka lini mtaala wa kilimo kwa walimu? Kilimo ni fani, usikisharau. Ulitakiwa kuweka vitivo vingi vya kilimo, leo usingesikia kelele za ukosefu wa ajira. Uliyakoroga, yanywe. Ajiri vijana kulingana na elimu zao.Malumbano nao mitaani hayana tija. A wasaidiwe kusomea fani mbadala.Kwani ukiwa na degree lazima upewe ajira? Acheni ujinga ninyi wasomi, ajira za kupewa hakuna duniani kote. Nendeni mashambani mkajiajiri kwa kulima.