mchukunuzi
Member
- Jan 2, 2017
- 89
- 89
Aje ni nyimbo iliyoimbwa na msanii legendary katika mziki wa bongo flavour, Alikiba (kingkiba.)
hii nyimbo ina zaidi ya miezi tisa tangu ilipotoka, kama zilivyo nyimbo za alikiba zinapotoka huwa hazieleweki kwa urahisi mwanzo hii ni kwa kuwa utunzi wake huwa wa kuumiza kichwa, lakini baadae nyimbo hubamba.
Sasa maajabu ya hii nyimbo ni haya tangu imetoka zaidi ya miezi tisa iliyopita bado imekuwa nyimbo inayoleta mijadala mbali mbali hadi Leo ndani na nje ya nchi, kwenye vijiwe na mikusanyiko, kwenye radio na television hadi mitandao ya kijamii, hadi Leo bado team pinzani wanaumiza kichwa kuuchafua huu wimbo na kuufanya ufutike masikioni mwa wa Tanzania lakini wapi kwa kuwa good music lives long.
Hii nyimbo bado iko katika ubora wake kwa zaidi ya miezi tisa, bado inaingiza hela, bado inabeba tuzo, bado inashindana na track mpya kwa kuwa nyimbo zilizotoka pamoja na nyimbo hii zilishajifia. South Africa, Nigeria Ghana na sehemu nyingine za dunia Leo wanaiongelea nyimbo ya aje kama imetoka Leo.
Kuna team bado inapambana na huu wimbo hadi Leo utadhani ni wimbo mpya,na kwa kadri wimbo unavyochafuliwa unazidi kupenya kwa majungu ni promo nzuri kuliko yoyote. kwa nini aje ilikuja?
Ukikuta mjadala wowote katika mitandao ya kijamii kuhusu mziki wa bongo flavour basi jua watanzania wanajadili aje.
AJE ni maana halisi ya mziki mzuri, mziki mzuri hudumu, leo kijuso nyimbo ya hivi karibuni inashindanishwa na aje kwa habari ya video, aje yenye zaidi ya miezi tisa tangu ilipotoka,
KWA NINI AJE ILIKUJA?