Usizunguke sanaaana sema Samia na CCM yake hatutakuja endelea kamwe,maendeleo yako kwenye mdomo siyo vitendoSehemu kubwa ya bara la Afrika haiendelei kwa sababu Afrika imejaza watu wengi wajinga sana waliopindukia.
Afrika ni bara lenye watu wengi wajinga wajinga sanaaaa.
Afrika kuendelea ni ngumu kama bado ujinga sugu upo.
Hawa wajinga sugu utawakuta katika ngazi ya familia mpaka serikalini.
Inategemea tafsiri ya Maendeleo ni nini?Una kundi la watu kama Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, ChoiceVariable , chiembe nk unadhani kweli utakuwa na taifa lenye maendeleo mkuu? Hwa ni sample tu, ila wengi wetu tupo kama hawa jamaa ni a different version. Nchi za Africa ni ngumu sana kuwa na maendeleo, greediness, theft, incompetence nk hayamambo hayawezi kutuacha salama.